- Thread starter
- #41
Kaka Mshana umemsikia chui jikeHahahaha[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Mshana umemsikia chui jikeHahahaha[emoji23]
Mimi ni chui jike- Rais Samia Suluhu 🤣 🤣 🙌Aiseee yani Rais ndio anaongea haya! Kwa hiyo watu waache kufanya matumizi kisa ya uhaba? Yani waache kufanya biashara yani Rais ndio anaona suluhu la kudumu la uhaba wa nafaka hahaha
Upeo wako utakuwa mfupi, Hata wasipopikia Pombe demand ikiongezeka Prices zitaongezeka kwahio akiba ya taifa (kama ingekuwepo ya kutosha) ikitumika kuachia mzigo itasaidia kupunguza makali...Unategemea akiba ya taifa wakati unapikia chakula pombe?
This is a very stupid mentality
Anza na akiba Binafsi kabla ya kufika akiba ya taifa
Hivi nyie vitoto vya siku hizi mmekuaje?
That's correct, hii ni sawa na kuwaambia TBL au SBL waache kutengeneza pombe sababu wanaharibu chakula wakati unataka kodi na ajira 🤣 🤣 🤣 .Upeo wako utakuwa mfupi, Hata wasipopikia Pombe demand ikiongezeka Prices zitaongezeka kwahio akiba ya taifa (kama ingekuwepo ya kutosha) ikitumika kuachia mzigo itasaidia kupunguza makali...
Pombe ni part and parcel ya culture ya hao watu.., huenda wengine wanapika pombe ili wanunue mboga na kupeleka watoto wao shule na kulipia Bima n.k. (vyote ambavyo sio affordable)..., unawaambia leo wasipike pombe alafu watunze nafaka wakati ndugu zao wa kusini juzi tu mazao yaliozea mashambani kwa kukosa wateja....
Kweli kuna sehemu tumekosea na huenda tunakoelekea ni nyuma na sio mbele...
Lakini kuna umuhimu wa Rais kusimama hadharani na kuanza kujiita chui jike?Unapokuwa mbele ya kadamnasi maneno mengine hutoka bila control.
Hii kauli alikuwa akiitoa akiwa ziara za usukumani....sijui kwa nini!'…Hakuna chakula cha bure…asiefanya kazi na afe kwa njaa…' -Hayati Dr JPM
Moja ya vipawa vikubwa alivyokuwa navyo Hayati JPM ilikuwa makavu live live
Haya wewe taja hivyo vinywaji vya wapare na wagweno ambavyo vinatumia nafaka.Kawaambia wanakilimanjaro au Wachagga tu?
Wachagga mkianzisha mada huwa mnasahau kuwa KLM inabeba pia Wapare na Wagweno wa Upareni.
Kichwa cha habari unasema Wachaga, ila ndani unazungumzia KLM yote.
Mbele nako kunaliwa 😃😃😃Bibi mbele au mbege au umeamua kuchomekea kama Magufuli
Umeona mbali. Maana sioni hiyo shida ya ukosefu wa nafaka Kilimanjaro kwasababu ya vinywaji.Hapo watatokea watu wataunda by laws za kuumizana.
We upeo huna kabisaUpeo wako utakuwa mfupi, Hata wasipopikia Pombe demand ikiongezeka Prices zitaongezeka kwahio akiba ya taifa (kama ingekuwepo ya kutosha) ikitumika kuachia mzigo itasaidia kupunguza makali...
Pombe ni part and parcel ya culture ya hao watu.., huenda wengine wanapika pombe ili wanunue mboga na kupeleka watoto wao shule na kulipia Bima n.k. (vyote ambavyo sio affordable)..., unawaambia leo wasipike pombe alafu watunze nafaka wakati ndugu zao wa kusini juzi tu mazao yaliozea mashambani kwa kukosa wateja....
Kweli kuna sehemu tumekosea na huenda tunakoelekea ni nyuma na sio mbele...
Mkuu Unataka wakajipendekeze kwa Nani?Mtapangiwa hadi namna ya kutambika, mmezidi sana kujikomba na kujipendekeza
Futa hii nikupe makandeHao huwa wanaficha ndizi na mahindi juu ya dari.
Speech za chief hangaya zina makosa kila sikuKwanza ndizi ya pombe huwa haiiliwi. Angeuliza kwanza sio kukurupuka
Chief hangaya ni mpenda misifaTayari kumekucha somo wameelewa tuliposema wazuie uuzwaji wa vyakula nje walidharau
Mushiiiii sio suala la kutaja vileo baba anguuuu, ni suala la kuzumgumza uhalisia kuwa raisi kazumgumza na watu wa KLM sio wachaga tuuu etiii.Haya wewe taja hivyo vinywaji vya wapare na wagweno ambavyo vinatumia nafaka.