Rais Samia Wachukulie hatua wanajeshi wanaofanyafanya vurugu mitaani-Hii ni aibu isiyokubalika hata kidogo!

Umeelezea madhara ya kuwa na jeshi lisilo heshimu sheria na maadili jeshi vizuri. Ila umesau kuwa raisi unanee mweleza hawezi kukemea wala kuchukuwa hatuwa za kuadhibu watove wa nidhamu. Kwasababu hao watovu wa nidhamu, na wasio heshimu sheria na maadili ya kazi zao ndio wanao saidia kwenye shughuli za wizi wa kura. Sasa Leo akiwawajibisha akaanza kuogopa kwenda kinyume na miiko Yao ya kazi na uvujaji sheria. Halafu kesho kutwa akawa omba wabebe masaduku ya kura zilizo kwisha kupigwa. Halafu wakataaa kutii maagizo halamu sitiari ameukosa raisi. Mambo haya ya vyombo vya ulinzi na usalama kunyanyasa raia hivita acha mpaka pale wananchi watakapo juwa haki zao na wajibu wao wa kuhakisha viogozi wote wanatokana na kura zao na sivinginevyo.
 
Nchi ikishakuwa geto kila mtu ni mhuni na hamna mhuni wakumkemea mhumuni mwenzake aache uhuni anaofanya...
 
Okay kwahiyo kwa akili zako ndogo nikwamba wakipiga raia, Ruteni atafufuka, Ruteni hatokuwa mlevi , Ruteni hatoanzisha ugomvi mtaani, Ruteni hatomzaba vibao Dereva bajaji, hivyo Ruteni atarudi kambini mtafurahia kufufuka kwake. Wahuni wachache mnadhalilisha jesh Poor logic
 
Yeye mwenyewe anawaogopa
 

Wewe umejuaje mama anawaruma hawa wanajeshi? Huna uhakika unachokiongea
 
I wish nivae cap la jeshi ila nikiwafikiria hawa wanajeshi mhhhh
 
Ndio maana kule Kijijini kwetu hua wanarogwa tuu wana rudishwa makwao wakiwa hawajielewi, inabidi akina kamchape na akina lamba lamba wasimalize uchawi wote kwa ajili ya kuwa nyoosha hawa wapuuzi waliokosa maadili
 
Nakuhakikishia kwa 100% Samia hata fungua mdomo wake kukosoa huo uovu wa jeshi.
Mama yetu ni muoga balaaa.
Atathubutu kufungua mdomo wake vipi wakati hata wanajeshi wanajua yeye na chama chake wako madarakani kwa wizi wa kura?
 
Kumuua kanali wa jeshi ni kulitukana jeshi

Kinachofanyika ni kuludisha nidhamu mtaani,zinapigwa virungu adi nzi

Iyo ni oda Toka kwa cdf,ukiona wazee wamezama jua mwenye jeshi lake kajaa sumu,anatamani kutandaza bakora hata kwa raia ote tz
Sasa kwann wasi deal na madereva wa bajaji na boda, watu wengine wana kosa gan?
 
Umejipendekeza Sana

Huyo Mama yenu alivyomuoga hatonyanyua mdomo wake katu



Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ni hivi,apo mtapata tabu sana,wajomba wamechafukwa wanapiga adi panzi

Mtabondwa miezi mitatu mfululizo,akiuliwa tu kuluti wa jkt wahuni lazima msakwe nyumba kwa nyumba ad mtajane sembuse kanali

kumuua soja ni tusi kwa chombo
Mbona wanajeshi wakiuwawa huko kwenye kulinda amani huwa hampigi Hadi inzi? Maana kule ndio Kuna wenye silaha wenzenu. Au mnaona sifa kupiga wenye viriba tumbo ili mjione ni jeshi imara? Ukiona jeshi linaona fahari kupiga raia wasio na silaha, siku ikitokea vita itakuwa aibu
 
unawaita wanajeshi wanaokulinda usiku na mchana panya road? Naona wanajeshi wamekuwa wamekuwa wapole sana. Ngedere unayejjambia usiku hujui lolote kuhusu nchi hii unawaita wanajeshi panya road? Subiri utafikiwa we mbwa.
Itoshe kusema hawa bodaboda na Bajaji polisi wameshindwa kuwadhibiti, na limekuwa jeshi linalojitegemea na wanatembea na silaha hatarishi sana Kwa kisingisio Cha self-defense, hii haikubaliki, inabidi jeshi la polisi lijitafakari kuwadhibiti Hawa Watu, sisi raia wa kawaida tupo wadogo kama piritoni, tunawaogopa sana Hawa vijana na wameshasababisha sana maafa na yatazidi huko mbeleni, Mungu ameamua kufanya tukio kubwa la kuuliwa Mtu mkubwa ili tuamke usingizini Kwani tatizo ni kubwa, fikiria Mkuu WA kikosi Cha jeshi unauliwa na dereva Bajaji, huoni Mungu ana kusudio la kuonyesha ukubwa WA tatizo!! Tuamke na Hawa vijana wadhibitiwe, utaratibu na sheria
 
Nawakubali sana Jiewii ila baada ya kufanya msako wa sare zao, kutishia kuhusu uvaaji wa nguo zao na kupiga raia nimewavua vyeo.
 
Ifike wakati sasa serikali kuu ione umuhimu na hatua za mapema za kupanga mji wa kawe, huu mji wa kawe umekuwa shagalabagalah ingependeza barabara ingepanuliwa kwa kuvunja nyumba na maduka yote yaliyojenga ndani ya barabara, kupanua njia za mitaa.

Sababu kubwa ya kilichotokea ni marehemu kanali kupaki gari lakini njia hakuna ikabidi aombwe atoe gari ndio akahamaki kwanini dereva bajaji anampa order.

Kawe iko hatarishi sana sababu ya maduka ya nafaka kujengwa mpaka barabarani haswa kawe ukwamani malori yanayokuja kushusha nafaka pamoja na daladala zisizokuwa na adabu hupaki barabarani na kuleta foleni kubwa wakati Tanroads wapo, serikali ya mkoa ipo, mtendaji kata yupo, polisi trafiki wapo, latra wapo na wanaona ila hakuna anayechukua hatua.

Jiwe la mpaka wa barabara lipo pale kawe NBc college hakuna namna zaidi ya kupitisha greda na kuvunja nyumba zote zilizojiongeza bila mipango miji.

Kuna shida gani kawe isipewe stendi kubwa ya daladala inayoeleweka, kule walikouziana kina mabula nyuma ya mwamposa kwanini isijengwe stendi kubwa na viwanja vile vipimwe vizuri maana NHC mpaka aombe fedha serikalini kutabaki mapori mpaka lini.

Chalamila chonga barabara vunjia tu watu waliozidi haiwezekani barabara za kawe hata gari moja kupita ni kazi na ni mjini
 

Kwenye ishu ya mipango miji tumekwama sana.
 
Au wanataka kuitumia episode hii kutisha wananchi huko mbeleni waogope hata kutumia haki zao za kikatiba kama maandamano n.k kwa hofu ya wanajeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…