Rais Samia Wachukulie hatua wanajeshi wanaofanyafanya vurugu mitaani-Hii ni aibu isiyokubalika hata kidogo!

....!Mwisho namalizia kwa kusema kuwa, nina Imani na Mkuu wa Majeshi, nina imani na Mnadhimu wa majeshi na bado nina imani na Jeshi kiujumla. ....
Mkuu acha kuidanganya saikolojia yako.

Mimi sina imani na mkuu wa majeshi, kwa sababu baada ya kusikia haya angeshaamuru vijana wake warudi kambini. Ikumbukwe makazi ya CDF ni pale pale Lugalo.

Tufike mahala hawa watu wabebe dhamana ya utendaji wa watu wao
 
Hawajui hata maana ya JESHI LA WANANCHI.
 
Kwani mtuhumiwa hajakamatwa?
Huo msako wao wanamsaka nani? Jueni hamko juu ya Sheria sababu nchi hii ni yetu sote hamuwezi kuilinda pekeyenu.
Jeshi lijitahidi kuajiri watu wenyewe shule angalau mambo haya yatapungua.
Ndio madhara ya kuwa na jeshi la watu wapumbavu ,wasi na elimu , exposure ,akili wala maadili
Vyombo vyote vya dola Tanzania vina ajiri Kwa misingi hiyo , unatarajia kuwa na jeshi la watu gani kama sio vikundi vya wahuni wanaovaa sare za jeshi la kulipwa pesa za walipa kodi watanzania kuwafanyia unyama raia ?
 
Kwani mtuhumiwa hajakamatwa?
Huo msako wao wanamsaka nani? Jueni hamko juu ya Sheria sababu nchi hii ni yetu sote hamuwezi kuilinda pekeyenu.
Jeshi lijitahidi kuajiri watu wenyewe shule angalau mambo haya yatapungua.
Ndio madhara ya kuwa na jeshi la watu wapumbavu ,wasi na elimu , exposure ,akili wala maadili
Vyombo vyote vya dola Tanzania vina ajiri Kwa misingi hiyo , unatarajia kuwa na jeshi la watu gani kama sio vikundi vya wahuni wanaovaa sare za jeshi la kulipwa pesa za walipa kodi watanzania kuwafanyia unyama raia ?
 
Tutazidi kutembeza kichapo kama huwezi ishi kwa nidhamu karibu na utawala zetu nenda kaishi uswahilini, maswala ya ugomvi wa ovyo hatutaki mtakaribisha magaidi wafanye icho mnachokiona ni haki yenu kujibishana na mwanajeshi , leo jumapili mpo nyumbani wote tunakuja tembez rungu kuanzia watoto baba hausigeli adi mifugo na panya wote wa ndani
 
Umeona mwenzio alivyorudisha namba kwa kuleta ubabe wa kijinga?- Jifanye mbabe likikukuta unazikwa wewe na ndugu yako peke yako na maisha yanaendelea.
 
Naunga mkono hoja
 
Vita hakuna wanajeshi hawana la kufanya wameamua kumaliza nguvu zao kwa raia

Hii haipendezi
 
Kwan mpaka sasa wako huko Kawe wakiendeleza kipigo?
 
Huwez kuwa mwanajeshi ww ila una ndoto za kuwa mwanajeshi, ww ni mvuta bangi mmoja anayemtegemea dada yake amfurahishe shemeji Yako ndio upate kula chakula
 
[emoji23][emoji23]
 
Kumuua kanali wa jeshi ni kulitukana jeshi

Kinachofanyika ni kuludisha nidhamu mtaani,zinapigwa virungu adi nzi

Iyo ni oda Toka kwa cdf,ukiona wazee wamezama jua mwenye jeshi lake kajaa sumu,anatamani kutandaza bakora hata kwa raia ote tz
Mwenye jeshi lake ni raia, acha kuandika kama vidole havishirikiani na kichwa.
 
Hawa jamaa mbona mtaani tunaishi nao vizuri, shida ni pale mnapotaka kuwahujum lazima wakiwashe
Uhuru ukizidi huzaa ujinga kwenye jamii, demokrasia ikizidi huzaa masuala ya kuchukuliana poa mpaka inapitiliza.

Juzi huku Mbezi Beach maeneo ya nyumba ya Rais Mwinyi kwenye foleni jamaa wa bajaji kamchomekea mwanajeshi bila ya kujua, mwanajeshi akamshukia na kupa makofi mawili matatu. Wakati anarudi kupanda gari lake aondoke kumbe dereva ya bajaji ana bisibisi pale karibu na usukani akaichukua na kwenda kumchoma nayo shingoni huyo mwanajeshi, afande akavuja damu mpaka akafa.

Wanajeshi wakaanza oparesheni ya kuwatandika hao madereva wa bajaji mpaka wakamkamata mwenzao na wakaingia nae mle Lugalo Jeshini.

Lazima tuheshimu mamlaka, sio kwa sababu tunaendesha bajaji au bodaboda basi tunajiona tayari tumeshamaliza kila kitu, tunaanza ujuaji mwingi huko njiani.
 
Acha kutetea ujinga nchi hii in utawala wa Sheria. Mtuhumiwa wa mauaji kashakamatwa je hawa wanaopigwa Wana kos gani?
Wajifunze adabu, sio kila mtu unamchukulia poa tu kama vile yupo sawa na abiria anayekulipa shilingi mia saba kwa safari moja unayomsafirisha.
 
Unaowaona wapumbavu ndio wanakulinda usiku huko mipakani mpaka unalala usingizi mzito usiku kucha.

Unaowaona wapumbavu ndio waliwasambaratisha magaidi kule MKIRU na sasa hali ni salama kabisa.

Vijana wadogo tujifunze adabu, haswa tunapokabidhiwa kuendesha bajaji au bodaboda.
 
Wajifunze adabu, sio kila mtu unamchukulia poa tu kama vile yupo sawa na abiria anayekulipa shilingi mia saba kwa safari moja unayomsafirisha.
Nani yupo juu ya sheria katika hii nchi?
Nani ajifunze wakati mtuhumiwa kashakamatwa?
Tusishadadie uvunjifu wa sheria kw akiona jeshi halihitaji kufuata sheria sababu siku watu wakichoka hawataweza kuhimili madhara yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…