Rais Samia Wachukulie hatua wanajeshi wanaofanyafanya vurugu mitaani-Hii ni aibu isiyokubalika hata kidogo!

Nani yupo juu ya sheria katika hii nchi?
Nani ajifunze wakati mtuhumiwa kashakamatwa?
Tusishadadie uvunjifu wa sheria kw akiona jeshi halihitaji kufuata sheria sababu siku watu wakichoka hawataweza kuhimili madhara yake.
Huyo Jamaa asukuumize kichwa,ana hasira za maisha,na anazani raia wasiokua na hatia wakipigwa maisha yake yatakua rahisi sana,alafu kumbuka unaweza ukamuona ni mtu kwa nje kumbe ndani ni shetani! Shetani wanapenda sana kujifanya ni binaadamu sema tabia za kishetani ndiyo zinawaambua!!
 
Wana kawe mmeua afisa mkuu wa Jeshi...acha kulis lia lazima mpate kipigo kidogo heshima Geshi irudiii.....karibu kambini uje ulalamike huku tukuone
 
Nani yupo juu ya sheria katika hii nchi?
Nani ajifunze wakati mtuhumiwa kashakamatwa?
Tusishadadie uvunjifu wa sheria kw akiona jeshi halihitaji kufuata sheria sababu siku watu wakichoka hawataweza kuhimili madhara yake.
Mwanajeshi huwezi kumfanya lolote, watu wakichoka ndio watajibu mapigo ya jeshi, wewe utakuwa unaota.

Sio watanzania hawa tunaowajua labda.
 
Rubbish.
 
Kumuua kanali wa jeshi ni kulitukana jeshi

Kinachofanyika ni kuludisha nidhamu mtaani,zinapigwa virungu adi nzi

Iyo ni oda Toka kwa cdf,ukiona wazee wamezama jua mwenye jeshi lake kajaa sumu,anatamani kutandaza bakora hata kwa raia ote tz

huyu hapa mwanajeshi mwingine akili kisoda.

Ukalewe ulete vurugu watu watakutia bisibisi tu kwa ubabe wa kipumbavu jeshi halikumtuma akalewe akose akili ya kuzungumza na watu.

Binafsi hata nipigwe kibao na Rais lazima ntamrudishia siwezi kukubali dharau.

Aliyemtia bisu Kanali alikuwa sahihi tu
 
Mimi naona hili swala liligubikwa na jazba zaidi kutoka kwa huyo mwanajeshi na dereva wa bajaj......nafikiri wanajeshi kwa sababu ni watu wenye mafunzo maalumu wanatakiwa kujizuia sana pale wanapohisi wamekosewa na raia, mfano swala dogo la kuchomekewa na bajaj tayari unataka kuonyesha makucha.

Ni sawasawa na bondia professional, anaweza kuwa na uwezo wa kupiga kila mtu lakini ile ni taaluma lazima ajiweke kwenye mazingira ya kujizuia na hasira za kuanzisha ugomvi na watu nje ya uringo ambao siyo mabondia wenzake.

Hili swala la kuendelea kupiga raia ili hali mshukiwa ameshapatikana na hata kama angekuwa hajajulikana linaleta ukakasi maana linaweza kusababisha jeshi kuchukiwa na raia ukichukulia jeshi letu linajulikana kama jeshi la wananchi.​
 
Mawazo ya baadhi ya wanajeshi kudhani wako juu ya raia ni mawazo potofu. Nguvu ya kijeshi iko ndani ya kamandi na siyo mtu mmojammoja!
 
Kama na nyie ni jeshi la akiba kosa likowapi mkipigana na jeshi active?? Jeshi la akiba mko wengi alafu mnapigwa na wachache huo si udhaifu?? Anyway wanajeshi mnajuana
Watu wanasahau vita ikianza wananchi ni wa kwanza kupelekwa front.
 
unawaita wanajeshi wanaokulinda usiku na mchana panya road? Naona wanajeshi wamekuwa wamekuwa wapole sana. Ngedere unayejjambia usiku hujui lolote kuhusu nchi hii unawaita wanajeshi panya road? Subiri utafikiwa we mbwa.
Wacha ukatili wewe angepigwa babayako ungesema hivo?? Mbona hivi waafrika huwezi sikia uchungu au huruma, ila awe nduguyako?? Kama wao ndio wanakulinda je wao anawalinda nani??
 
Wacha ukatili wewe angepigwa babayako ungesema hivo?? Mbona hivi waafrika huwezi sikia uchungu au huruma, ila awe nduguyako?? Kama wao ndio wanakulinda je wao anawalinda nani??
Mmh
 

Huna kazi ya kufanya
 
Muuaji ameshakamatwa na sheria inapaswa kuachwa ifanye kazi yake.

Kuonea raia wema kwa kigezo cha kuwatia adabu ni uvunjifu wa sheria,

hii nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria.
hakuna raia mwema hapo, piga hao mbwa mpaka wachakae
 
Mm mwenyewe nimemshangaa huyo pimbi, anaandika upupu tu, sijui amekula maharage ya wapi huyo.
 
hakuna cha vtaratbu na sheria, kaz moja tu, piga hao mbwa mpaka wachakae
 
Ungeenda wewe ukamchukue kinguvu au nenda baadae ukamchukue kwa nguvu,pale kituoni.Wenzako wataleta majibu,kua umemchukua mtuhumiwa na mmedili nae.Mjinga wewe.
unamjibu mjinga, basi we pumbavu kabisa
 
Jeshi linakaa kimya mpaka nchi inamega rasilimali zetu,
 
huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…