Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

Kwa hiyo ulitaka watumishi waendelee kuteseka??? Pumbavu sana kama mwendazake
 
Bado kabisa mkuu,ili ziendelee inabidii nini? Na ila wote wanasubiria? Ndio sijapapata vizuri.

Ila yule si alikuwa mwajiriwa wa Private sector(SBL) mkuu?
 
Kuna watu wamelindwa
 
Serikali inaendeshwa kwa cash budget, inakusanya makusanyo ya February yanatumika mwezi March.

Mpaka Magufuli anaondoka kila mkandarasi alikuwa analipwa on time kutokana na kipande cha kazi alichokamilisha.

Na kila mtumishi alikuwa analipwa mshahara on time.

MSD ilikuwa na dawa za kutosha na kila kitu kilikuwa shwari.

Matatizo yoyote kuanzia mwezi April ni ya serikali mpya.
 
Baeleze baba, kile kichwa kilijua kukusanya mapato kutumia mali asili zilizopo nchini.
Itafika mahali tutaelewa umuhimu wa kutumia vizuri mtu mwema ndani ya maisha yetu haijalishi ni familia, jamii, ukoo n.k
Akiondoka anaondoka.
Mkubali mtu kwa uwezo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika historia ya miaka 35 ya Tanzania kuanzia kwa mzee Mwinyi mpaka kwa JPM.

Ni mara ya kwanza Tanzania hakuna shule ya bweni ya serikali iliyofungwa kwa sababu supplier kagoma kupeleka chakula kutokana na malimbikizo ya madeni.

Kuna mambo chini ya JPM tulishaanza kuyasahau, ni muda tu kabla atujaanza kuyasikia tena.
 


Miamala ya simu ndio itatunisha mfuko wa Hazina, simple like that.
 
Amekuta hazina ya kutosha miezi 5 bila kufanya kazi. Ameshasema mama. Hakuna haja ya kumfundisha
 
Jiwe kaharibu Sana alikua anaendesha nchi Kama nyumba yake ndogo Sasa kakausha kibubu mzigo anaangushiwa mwananchi mfano ununuzi wa ndege wataalamu walishauri ndege kwa ajili ya biashara hazinunuliwi cash kwa maana kuwa iyo pesa Kama ipo ika endeleze huduma muhimu ie shule,afya au barabara nk lenyewe likakataa kwakuwaaminisha kuwa hii nchi tajiri Sana matokeo yake ndio haya watu tunakaushwa damu kwa tozo na Kodi kandamizi sema tunashukuru karma imefanya kazi yake
 
Sijuhi Magu alikuwa anatumia mbinu gani aisee! Hazina kuwa na hakiba ya miezi 6 kwa nchi zetu za Kiafrika siyo masihara!

Na nawaza hela ya ndege ,elimu bure,miradi kibao kama umeme,maji,zahanati,barabara,flyovers,meli,cherezo,rada,mishahara,bwawa,SGR, busisi,atanzanite, mwendo kasi, n.k alikuwa anazitoa wapi huyu jamaa..

Dah
 
Kila kitu kimelipiwa? hakuna mtu alikuwa muongo kama magufuli, ndio maana alitunga sheria ya takwimu ili adanganye atakavyo. Ndani ya utawala wake deni la taifa limekua kwa 20t.
Awamu ya Tano kila taarifa ya serikali ilikuwa na kasoro.
 
Wadokozi wanatumia safari kuchota fedha hazina. Kilichomgalimu JPM ni kuzuia ulaji wa watu kwa kutumia njia hii.
 
Hili la hazina kuwa empty lilimkuta Mwinyi. Mzee wa watu alipambana kimya kimya kuiweka nchi kwenye mstari.Huku Nyerere akiitisha vikao na waandishi wa habari kumpiga vijembe. Eti anashauriwa na mkewe!

Akabadilisha uchumi mpaka nchi ilipotengamaa. Alikuja kusema alichokuta hazina kwenye hotuba yake ya kuaga bungeni! Nafikiria Mama pia yupo kwenye same situation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…