Rais Samia: Wakinizingua nawazingua. Jijini Mbeya maelfu wakanyagana kila mmoja akitaka kumwona mubashara

Rais Samia: Wakinizingua nawazingua. Jijini Mbeya maelfu wakanyagana kila mmoja akitaka kumwona mubashara

Watanzania tunaendelea kuwa na Imani na mh mama Samia suluhu Hassan kwa namna anavyoongoza nchi, Ndio maana unaona namna wanambeya walivyo furika kumlaki mh Rais wetu kipenzi Cha watanzania,
 
Ninachofurahi ni kwamba Rais Mama Samia hapendi sifa za kijinga badala yake anahimiza utendaji na kazi kwa wateule wake. Wale chawa na wapambe wa kusifia sasa hivi hawana nafasi. Shikilia hapo hapo Mama Samia.
Siasa za Africa kiongozi asiposifiwa ujue hakubaliki,So msiwarudishe nyuma wanaosifu na kuabudu kwakuwa ndio siasa za Africa zilivyo,
 
IMG-20220806-WA0131.jpg

Wasalaam
Hii picha ivi naona vibaya,mbona kama alcohol yupo na tinted anacheck Samia akitaka kumwambia kuwa.......😳
 
A
Ninachofurahi ni kwamba Rais Mama Samia hapendi sifa za kijinga badala yake anahimiza utendaji na kazi kwa wateule wake. Wale chawa na wapambe wa kusifia sasa hivi hawana nafasi. Shikilia hapo hapo Mama Samia.
Akaze la sivyo watampa headache
 
Unataka mafuta yafikie elfu 4,000 ndio muongee zaidi?

Usifanye mchezo na TZS 100BL kwa kila mwezi,

Wacha Samia aitwe Samia mkuu,

Mungu amemleta huyu kwa maksudi kabisa ili awasaidie Watanzania
Unataka mafuta yafikie elfu 4,000 ndio muongee zaidi?

Usifanye mchezo na TZS 100BL kwa kila mwezi,

Wacha Samia aitwe Samia mkuu,

Mungu amemleta huyu kwa maksudi kabisa ili awasaidie Watanzania
Acha uchawa fanya kazi Acha kupotosha.
 
Anaboresha miundombinu ya kazi gani?

Si Burundi, DRC, Uganda nao wanayo mibovu kama ya kwetu tu hivyo atulie.

Au hiyo excuse ipo kwenye bei ya mafuta na kukatika kwa umeme pekee.
MATAGA ile slogan yenu ya 'make Chato great again' imeishia wapi? Pressure zitawaua awamu hii. No one cares of you idiots.
 
Humu kuna watu wanajitekenya na kucheka wenyewe. Yetu macho tu humu
 
Vp lile jammer la marehemu nduli lilipigwa bei,? au alizikwa nalo?
 
Back
Top Bottom