Rais Samia: Wakinizingua nawazingua. Jijini Mbeya maelfu wakanyagana kila mmoja akitaka kumwona mubashara

Wewe sijui ndg CM 1774858 msome kakako yupo site huko hapo 👇🏾 chini...
 
Shukrani kutufahamisha.Ubarikiwe sana.
View attachment 2316136
Wasalaam,

Akiendelea na ziara yake jijini Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameendelea kusisitiza uwajibikaji kwa viongozi wote wa Serikali kuanzia yule wa chini hadi yule ya juu,

Rais ameenda mbali kwa kutumia msemo maarufu wa vijana "Wanikizingua Nawazingua " sasa wewe RC, DC, DED,DAS zingua kwenye 18 za mama uone,

Aidha Rais Samia amefurahishwa Sana na ujenzi wa Jengo bora la mkuu wa Mkoa wa Mbeya, ( Value for Money )

Pamoja na mambo mengine Rais amewahakikishia Watanzania kuwa Serikali yake itaendelea kuboresha miundombinu ya kutolea huduma na wahudumu,

Mtakumbuka Rais yuko Jiji Mbeya kwa ziara ya siku tatu huku akitarajiwa kufunga maonesho ya kibiashara ya "Nanenane" ambayo mwaka huu yanafanyika Kitaifa Mkoani Mbeya,

Rais pia hakusita kuwatahadharisha DCs, DED & DAS kuhusu mkeka mpya,

Kweli kabisa.Usichoke kutufahamisha wananchi.
Unataka mafuta yafikie elfu 4,000 ndio muongee zaidi?

Usifanye mchezo na TZS 100BL kwa kila mwezi,

Wacha Samia aitwe Samia mkuu,

Mungu amemleta huyu kwa maksudi kabisa ili awasaidie Watanzania
 
Kiufupi Rais Samia kapata a warm welcome Mkoani Mbeya hadi kafurahia mwenyewe..

Moja ya sifa nimejifunza kwake anaonekana ana stamina kubwa ya sifa za wapambe ,hakuna maamuzi ya kuhemka na anawachana live,pesa zikusanywe ndio huduma zinazodaiwa zije..

Pia sababu kubwa ni Kumpata Spika Tulia a k a dada wa connection,pia sababu ya kujenga Barabara ya njia 4 km 32 hapo Mjini.
Asante kwa kutufahamisha wananchi.Tunampenda Rais wetu.
 
Sana,twampenda sana.Mungu ampe nguvu na uzima na afya.
Watanzania tunaendelea kuwa na Imani na mh mama Samia suluhu Hassan kwa namna anavyoongoza nchi, Ndio maana unaona namna wanambeya walivyo furika kumlaki mh Rais wetu kipenzi Cha watanzania,
 
Mnatuchosha kwa misifa ya kitoto.

Mwambien mbeya kama wameshindwa kuifanya ionekane na hadhi ya JIJI basi waishushe hadhi iwe manispaa wasituchoshe.

Jiji la hovyo, linachangia mapato makubwa lkn maendeleo hayaonekani kwa mkoa wala kwa walipa kodi huku kila siku wanasiasa wakija wanatia maneno ya uongo uongo na kusepa zao alafu mipumbavu michache inakuja kusifia upuuzi.
 
View attachment 2316136
Wasalaam,

Akiendelea na ziara yake jijini Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameendelea kusisitiza uwajibikaji kwa viongozi wote wa Serikali kuanzia yule wa chini hadi yule ya juu,

Rais ameenda mbali kwa kutumia msemo maarufu wa vijana "Wanikizingua Nawazingua " sasa wewe RC, DC, DED,DAS zingua kwenye 18 za mama uone,

Aidha Rais Samia amefurahishwa Sana na ujenzi wa Jengo bora la mkuu wa Mkoa wa Mbeya, ( Value for Money )

Pamoja na mambo mengine Rais amewahakikishia Watanzania kuwa Serikali yake itaendelea kuboresha miundombinu ya kutolea huduma na wahudumu,

Mtakumbuka Rais yuko Jiji Mbeya kwa ziara ya siku tatu huku akitarajiwa kufunga maonesho ya kibiashara ya "Nanenane" ambayo mwaka huu yanafanyika Kitaifa Mkoani Mbeya,

Rais pia hakusita kuwatahadharisha DCs, DED & DAS kuhusu mkeka mpya,

Mama Samia kiboko yao
 
Mnatuchosha kwa misifa ya kitoto.

Mwambien mbeya kama wameshindwa kuifanya ionekane na hadhi ya JIJI basi waishushe hadhi iwe manispaa wasituchoshe.

Jiji la hovyo, linachangia mapato makubwa lkn maendeleo hayaonekani kwa mkoa wala kwa walipa kodi huku kila siku wanasiasa wakija wanatia maneno ya uongo uongo na kusepa zao alafu mipumbavu michache inakuja kusifia upuuzi.
Jiji gani lina nyumba za Udongo kati kati ya mji.

Nenda maeneo kama Soko matola ukajionee mwenyewe.
 
is this True?
 
Back
Top Bottom