Rais Samia: Wakinizingua nawazingua. Jijini Mbeya maelfu wakanyagana kila mmoja akitaka kumwona mubashara

Wewe sijui ndg CM 1774858 msome kakako yupo site huko hapo 👇🏾 chini...
 
Shukrani kutufahamisha.Ubarikiwe sana.
 
Kweli kabisa.Usichoke kutufahamisha wananchi.
Unataka mafuta yafikie elfu 4,000 ndio muongee zaidi?

Usifanye mchezo na TZS 100BL kwa kila mwezi,

Wacha Samia aitwe Samia mkuu,

Mungu amemleta huyu kwa maksudi kabisa ili awasaidie Watanzania
 
Asante kwa kutufahamisha wananchi.Tunampenda Rais wetu.
 
Sana,twampenda sana.Mungu ampe nguvu na uzima na afya.
Watanzania tunaendelea kuwa na Imani na mh mama Samia suluhu Hassan kwa namna anavyoongoza nchi, Ndio maana unaona namna wanambeya walivyo furika kumlaki mh Rais wetu kipenzi Cha watanzania,
 
Mnatuchosha kwa misifa ya kitoto.

Mwambien mbeya kama wameshindwa kuifanya ionekane na hadhi ya JIJI basi waishushe hadhi iwe manispaa wasituchoshe.

Jiji la hovyo, linachangia mapato makubwa lkn maendeleo hayaonekani kwa mkoa wala kwa walipa kodi huku kila siku wanasiasa wakija wanatia maneno ya uongo uongo na kusepa zao alafu mipumbavu michache inakuja kusifia upuuzi.
 
Mama Samia kiboko yao
 
Jiji gani lina nyumba za Udongo kati kati ya mji.

Nenda maeneo kama Soko matola ukajionee mwenyewe.
 
is this True?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…