Rais Samia: Wakinizingua nawazingua. Jijini Mbeya maelfu wakanyagana kila mmoja akitaka kumwona mubashara

Watu ni wengi sanaaaa kwenye ziara hii mkoani Mbeya,
 
Huu ndo Upoyoyo sasa, lazima utambue kuwa sio kila Mwanachadema ni Anti Samia.

Huna ujabali wowote kwenye siasa uharo tu.
Wengi wasiompenda ni wana Ccm wenzie na yeye analijua hilo !!
 
Ninachofurahi ni kwamba Rais Mama Samia hapendi sifa za kijinga badala yake anahimiza utendaji na kazi kwa wateule wake. Wale chawa na wapambe wa kusifia sasa hivi hawana nafasi. Shikilia hapo hapo Mama Samia.
Wakosoaji ndio wanaomsaidia ! Na yeye ameshalifahamu hilo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…