Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

Hizo ni habari za kufikirika na kuambiwa kama ulivyosema hazina ushahidi na pia sikumbuki na sijawahi sikia popote kama mrema alishakua rais au waongelea mrema yupi?
 
Umejificha kwenye kichaka cha chuki. Kama sio tatizo kwann unatoa povu hapa
 
Sidhani kama unaelewa. Kwa jibu hili sidhani kama tutaelewana ndugu Numbisa.
 
Halafu Magufuli asijue kama wamechukuwa hela ktk central Bank ? Raisi yuko karibu na Gavana wa Benki anakuwa briefed kila kinachoendelea, asiambiwe kama shirika xyz limekopa ?
jitahidi kuelewa
 
Umejificha kwenye kichaka cha chuki. Kama sio tatizo kwann unatoa povu hapa
Ndo maana nikasema hatuwezi kuelewana. Ila kwa kuhitimisha, ni jukumu la walio hai kuiongoza hii nchi. Kama kuna makosa yatakosolewa na kurekebishwa bila kujali hisia za wanaowakumbuka waliotangulia.
 
Hatutaelewana sababu unaleta habari za kuambiwa
Ni jukumu la walio hai kuiongoza hii nchi. Kama kuna makosa yatakosolewa na kurekebishwa bila kujali hisia za wanaowakumbuka waliotangulia.
 
Kwa kuhitimisha tu walio hai wameelemewa na mizigo waliyodhani ni saizi yao kumbe imewazidi uwezo wamebaki kumsimanga Marehemu wakidhani itawapa nafuu na visingizio kwa wananchi
Ndo maana nikasema hatuwezi kuelewana. Ila kwa kuhitimisha, ni jukumu la walio hai kuiongoza hii nchi. Kama kuna makosa yatakosolewa na kurekebishwa bila kujali hisia za wanaowakumbuka waliotangulia.
 
Kwa kuhitimisha tu walio hai wameelemewa na mizigo waliyodhani ni saizi yao kumbe imewazidi uwezo wamebaki kumsimanga Marehemu wakidhani itawapa nafuu na visingizio kwa wananchi
Hizi ndizo hisia za walio hai wenye kuguswa na waliotangulia ambazo nazirudia tena:

Ni jukumu la walio hai kuiongoza hii nchi. Kama kuna makosa yatakosolewa na kurekebishwa bila kujali hisia za wanaowakumbuka waliotangulia.
 
Ujumbe umeelewa. Kumsakama Marehemu haisaidii kuipeleka mbele nchi wala kuwafurahisha waja

Mm nakazia hapa:

Ni jukumu la walio hai kuiongoza hii nchi. Kama kuna makosa yatakosolewa na kurekebishwa bila kujali hisia za wanaowakumbuka waliotangulia.
 
Sio kwamba JPM alikuwa hajui hili haiwezekani taasisi kubwa kama ya Rais asijue hili ila lilipata baraka zote na hasa dhumuni ilikuwa ni kisiasa zaidi kuonesha kuwa sasa mambo yanaenda vizuri uchumi unakuwa mpaka mashirka yanazalisha na wanaingiza faida mpaka kutoa mgao wa serikali lakini kiuhalisia toka nadhani nchi hii ipate uhuru mashirika yamekuwa yakiishi kwa ruzuku tu toka serikalini pesa za kodi sasa ghafla wanagawa faida? Raisi alikuwa anajuwa watu wake wanajuwa ila ilikuwa wana istage kisiasa zaidi.
 
Fifth Phase Ilikuwa awamu ya wapigaji na wajanja tangu nchi hii ipate Uhuru pathetic
 
Ujumbe umeelewa. Kumsakama Marehemu haisaidii kuipeleka mbele nchi wala kuwafurahisha waja
Usisahau na hili pia:
Ni jukumu la walio hai kuiongoza hii nchi. Kama kuna makosa yatakosolewa na kurekebishwa bila kujali hisia za wanaowakumbuka waliotangulia.
 
Hii legacy inapopolewa hatari.

thetallest njoo ulinde legacy
 
Huyu mama anayajua mauchafu yote ya yule bwana wa kaburini
 
Ujumbe umeelewa. Kumsakama Marehemu haisaidii kuipeleka mbele nchi wala kuwafurahisha waja
Usisahau na hili pia:
Ni jukumu la walio hai kuiongoza hii nchi. Kama kuna makosa yatakosolewa na kurekebishwa bila kujali hisia za wanaowakumbuka waliotangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…