Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hizo ni habari za kufikirika na kuambiwa kama ulivyosema hazina ushahidi na pia sikumbuki na sijawahi sikia popote kama mrema alishakua rais au waongelea mrema yupi?
Kabla ya utumbuaji lazima ufanye analysis.
Kuna wakati fulani nilipewa scenario ya Mrema na mhasibu fulani wa taasisi(Sina hakika na credibility ya nilichoambiwa). Mhasibu alishauri kuwa hizi pesa hazifai kutumika katika siasa sababu zina wamiliki wake ila Mrema akatoa direct order kuwa zitumike na ikawa hivyo. Baadae katika kutekebisha huwezi mtumbua mhasibu unless hana ushahidi kuwa alikuwa against hizo instructions au utumbuaji ufanyike kwa ajili ya manufaa ya kisiasa.
Kama palikuwa na direct instructions kutoka wizarani au serikali kuu na mkurugenzi alionyesha kuwa si sahihi ila akatii maelekezo anatumbuliwa kwann?
Kukopa sio uozo. Kutoa gawio kama kuna faida pia nibsahihi. Kukopa halafu ukatoa faida huku una hasara hapo ndipo tatizo lilipo.