Kingmbusel
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 624
- 958
Ni mzigo wa kutosha,kuzipata sijui ufaratobu gani utatumika.Tulipe Kodi mkanunue baiskeli za kuhonga wapiga kura

Walikopa za kushonea sare? Utalipa Kwa lazima
Ni mzigo wa kutosha,kuzipata sijui ufaratobu gani utatumika.
ulipe ww lucas na tlaaa tlaaa kima wakubwa nyieWalikopa za kushonea sare? Utalipa Kwa lazima
Waanze kujibana na kupunguza matumizi ya anasa kutoka huko juuNi mzigo wa kutosha,kuzipata sijui ufaratobu gani utatumika.
My Take
Hakuna mjomba wa kukuletea maendeleo kila mmja awajinike kulipa Kodi
"Juzi nilizindua Jengo la TRA ndani ya Mkoa huu (Simiyu) nikawasifia sana TRA ndani ya Mkoa huu kwa kufikia malengo ya ukusanyaji, sasa nirejee wito wangu kwamba wafanyabiashara wote kodi kwa maendeleo ya nchi yetu na sio wafanyabiashara peke yao, hata sisi wenye biashara ndogondogo, wafugaji zile tozo zote tulizowekewa tuzilipe Halmashauri kwaajili ya maendeleo yetu.
Ulimwengu sasa hivi haueleweki, vita kila pahali, kila ukiamka ni vita kule ni vita huku, leo asubuhi tumeamka Iran huko na wenzao Israel wanatwangana kwelikweli. Wanapopigana kule madhara yanakuja kwetu, sasa hivi tu tutasikia bei za mafuta zimepanda,sasa hivi utasikia bidhaa zimepanda kwasababu wale ndiyo wenye nguvu, walioshikilia soko la dunia.
Tusipokusanya ndani lakini kwasababu ya vita vile, fedha ya kuletwa huku hakuna, wale ambao walikuwa angalau shilingi shilingi wakitugaia, fedha ile itakuwa hakuna. Ni lazima maendeleo yetu tujidhatiti sisi wenyewe, kwahiyo niombe sana na hii sio kwa Simiyu peke yenu, mikoa yote, Halmashauri zote zijitahidi kukusanya mapato.Niombe sana mjidhatiti kwenye makusanyo ili maendeleo yaende kama tulivyoweza kuyapeleka miaka mitano hii inayomalizika."- Rais Samia Suluhu akihitimisha ziara yake Mkoani Simiyu leo Jumatano Juni 18, 2025.
Haiwezekani Pesa yangu mkanunue baiskeli za kuhonga wananchi wajinga kule vijijiniSio hiari ni lazima
Baiskeli, tuktuk na ma v8 watumie wao kulipa iwe sisi kmmk zaoDeni mkope Nyie kulipa tulipe Sisi? Idiots
View attachment 3375076
Choicevariable hujasema nini kimetokea hadi kija na kauli hiyoo?My Take
Hakuna mjomba wa kukuletea maendeleo kila mmja awajinike kulipa Kodi
"Juzi nilizindua Jengo la TRA ndani ya Mkoa huu (Simiyu) nikawasifia sana TRA ndani ya Mkoa huu kwa kufikia malengo ya ukusanyaji, sasa nirejee wito wangu kwamba wafanyabiashara wote kodi kwa maendeleo ya nchi yetu na sio wafanyabiashara peke yao, hata sisi wenye biashara ndogondogo, wafugaji zile tozo zote tulizowekewa tuzilipe Halmashauri kwaajili ya maendeleo yetu.
Ulimwengu sasa hivi haueleweki, vita kila pahali, kila ukiamka ni vita kule ni vita huku, leo asubuhi tumeamka Iran huko na wenzao Israel wanatwangana kwelikweli. Wanapopigana kule madhara yanakuja kwetu, sasa hivi tu tutasikia bei za mafuta zimepanda,sasa hivi utasikia bidhaa zimepanda kwasababu wale ndiyo wenye nguvu, walioshikilia soko la dunia.
Tusipokusanya ndani lakini kwasababu ya vita vile, fedha ya kuletwa huku hakuna, wale ambao walikuwa angalau shilingi shilingi wakitugaia, fedha ile itakuwa hakuna. Ni lazima maendeleo yetu tujidhatiti sisi wenyewe, kwahiyo niombe sana na hii sio kwa Simiyu peke yenu, mikoa yote, Halmashauri zote zijitahidi kukusanya mapato.Niombe sana mjidhatiti kwenye makusanyo ili maendeleo yaende kama tulivyoweza kuyapeleka miaka mitano hii inayomalizika."- Rais Samia Suluhu akihitimisha ziara yake Mkoani Simiyu leo Jumatano Juni 18, 2025.
Kwani baiskeli ni za wajinga? Kwani CCM Haina hela zake ?Haiwezekani Pesa yangu mkanunue baiskeli za kuhonga wananchi wajinga kule vijijini
Kwani hujasoma au kusikiliza maelezo ya Rais Hadi Mimi nikusemee?Choicevariable hujasema nini kimetokea hadi kija na kauli hiyoo?
My Take
Hakuna mjomba wa kukuletea maendeleo kila mmja awajinike kulipa Kodi
"Juzi nilizindua Jengo la TRA ndani ya Mkoa huu (Simiyu) nikawasifia sana TRA ndani ya Mkoa huu kwa kufikia malengo ya ukusanyaji, sasa nirejee wito wangu kwamba wafanyabiashara wote kodi kwa maendeleo ya nchi yetu na sio wafanyabiashara peke yao, hata sisi wenye biashara ndogondogo, wafugaji zile tozo zote tulizowekewa tuzilipe Halmashauri kwaajili ya maendeleo yetu.
Ulimwengu sasa hivi haueleweki, vita kila pahali, kila ukiamka ni vita kule ni vita huku, leo asubuhi tumeamka Iran huko na wenzao Israel wanatwangana kwelikweli. Wanapopigana kule madhara yanakuja kwetu, sasa hivi tu tutasikia bei za mafuta zimepanda,sasa hivi utasikia bidhaa zimepanda kwasababu wale ndiyo wenye nguvu, walioshikilia soko la dunia.
Tusipokusanya ndani lakini kwasababu ya vita vile, fedha ya kuletwa huku hakuna, wale ambao walikuwa angalau shilingi shilingi wakitugaia, fedha ile itakuwa hakuna. Ni lazima maendeleo yetu tujidhatiti sisi wenyewe, kwahiyo niombe sana na hii sio kwa Simiyu peke yenu, mikoa yote, Halmashauri zote zijitahidi kukusanya mapato.Niombe sana mjidhatiti kwenye makusanyo ili maendeleo yaende kama tulivyoweza kuyapeleka miaka mitano hii inayomalizika."- Rais Samia Suluhu akihitimisha ziara yake Mkoani Simiyu leo Jumatano Juni 18, 2025.
Kwa Sasa hatulipi sababu mnatuomba kura sio ?Bajeti ya 2026/27 ndio itakuwa ya moto sana ,Kila mkulima mwenye shamba atalipia Kodi ya Mapato kama viwanja.
Kwani Kila mtu atakuwa Kiongozi? Wewe ni kajamba nani na utalipa kwa.lazimaBaiskeli, tuktuk na ma v8 watumie wao kulipa iwe sisi kmmk zao
Itoe wapi? Vitega uchumi vyake haviwezi kuhimili kuhonga machawa, kulipa wasanii, kuhonga viongozi wa upinzani, kununua baiskeli, vitenge, pikipiki, lazima Kuna inayochotwa hazinaKwani baiskeli ni za wajinga? Kwani CCM Haina hela zake ?
Sijabahatika ila ninapoikuta habari ndio maana naomba kujulishwa ili tuende pamoja.Kwani hujasoma au kusikiliza maelezo ya Rais Hadi Mimi nikusemee?