Rais Samia: Wale Waliokuwa Wanatugawia Shilingi Shilingi Hazipo Tena,Watu Wote Walipe Kodi

Rais Samia: Wale Waliokuwa Wanatugawia Shilingi Shilingi Hazipo Tena,Watu Wote Walipe Kodi

Itoe wapi? Vitega uchumi vyake haviwezi kuhimili kuhonga machawa, kulipa wasanii, kuhonga viongozi wa upinzani, kununua baiskeli, vitenge, pikipiki, lazima Kuna inayochotwa hazina
Unavijua vitege uchumi vingapi vya CCM?

Pili Baiskeli ni bei gani na Nchi Ina wanaume wa nyumba 10 wangapi?
 
Kwenye kitabu cha THE ANIMAL FARM, George Orwell anatanabaisha kuwa:
Kuku wanahamasishwa watage mayai mengi zaidi na zaidi (bila ya matunzo) ili shughuli za uendeshaji wa shamba ziendelee; huku nguruwe (viongozi) wakiendelea kufuja mali na kunenepeana
 
Pesa hazipo vipi nyie kunguni si ndio mlisema mama anamwaga mipesa kwenye ujenzi wa madarasa, madaraja , barabara, goli la mama mpaka mkaleta msemo wa
20250417_174958.jpg
"mama hatukudai" jana Mpina kasema Kisesa wanamdai imekuwa kesi.

Kulikoni tena leo watu wanahamishwa kulipa kodi wakati pesa zote zinatoka kwa Samia ?

Niwaeleze tu hapo mnandaliwa kisaikolojia ripoti ya UNHRC iliyotoka inakuja na matokeo yake hivyo msishangae hizo porojo mnazoambiwa kwa sasa.
 
Pesa hazipo vipi nyie kunguni si ndio mlisema mama anamwaga mipesa kwenye ujenzi wa madarasa, madaraja , barabara, goli la mama mpaka mkaleta msemo wa
View attachment 3375091"mama hatukudai" jana Mpina kasema Kisesa wanamdai imekuwa kesi.

Kulikoni tena leo watu wanahamishwa kulipa kodi wakati pesa zote zinatoka kwa Samia ?

Niwaeleze tu hapo mnandaliwa kisaikolojia ripoti ya UNHRC iliyotoka inakuja na matokeo yake hivyo msishangae hizo porojo mnazoambiwa kwa sasa.
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom