Rais Samia: Wale Waliokuwa Wanatugawia Shilingi Shilingi Hazipo Tena,Watu Wote Walipe Kodi


..Ni maandalizi ya kuvuruga uchaguzi na hatua ambazo nchi wafadhili zitachukua dhidi yake.
 
Choicevariable hujasema nini kimetokea hadi kija na kauli hiyoo?
 
Kumbe vita ya Iran na Israel ndo imewafanya mkose hela za maendeleo? Si mlisema mna uchumi imara"? Au TRA mnalipa kodi ya kujenga maofisi ya kujipigia makofi tu?

Ninyi ni vichaa wa milembe kiasi kwamba hamkumbuki myasemayo??
 
 
Ila Jobu aliona mbali sana maana alihoji ni lini na sisi kama taifa tutaanza kujitegemea wenyewe? Licha ya watu kulipa Kodi ila bado hatuwezi kujitegemea au tunasubiri miujiza itokee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…