ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #41
Unavijua vitege uchumi vingapi vya CCM?Itoe wapi? Vitega uchumi vyake haviwezi kuhimili kuhonga machawa, kulipa wasanii, kuhonga viongozi wa upinzani, kununua baiskeli, vitenge, pikipiki, lazima Kuna inayochotwa hazina
Si wali nunulia machawa wao baiskeli na pikipiki? Wazilipe sasa! Wewe ulipata pikipiki yako? Mbona tuliituma ?Walikopa za kushonea sare? Utalipa Kwa lazima
HIi stoo ya mjumbe wa shina gani na wapi?Kwani na kumbuka ile ofisi ya shina iliyopoteza 25m na lap top 600.
Baiskeli zimefanya nini Sasa?
Zimefika destinationBaiskeli zimefanya nini Sasa?
Machawa wako wangapi? Na baiskeli ziko ngapi?Si wali nunulia machawa wao baiskeli na pikipiki? Wazilipe sasa! Wewe ulipata pikipiki yako? Mbona tuliituma ?
Kuna ubaya?Zimefika destination
Kuna mahali nimesema hivyo?Kuna ubaya?
Zile hazikupotea.. WaliibianaHIi stoo ya mjumbe wa shina gani na wapi?Kwani na kumbuka ile ofisi ya shina iliyopoteza 25m na lap top 600.
Pesa hazipo vipi nyie kunguni si ndio mlisema mama anamwaga mipesa kwenye ujenzi wa madarasa, madaraja , barabara, goli la mama mpaka mkaleta msemo wa
View attachment 3375091"mama hatukudai" jana Mpina kasema Kisesa wanamdai imekuwa kesi.
Kulikoni tena leo watu wanahamishwa kulipa kodi wakati pesa zote zinatoka kwa Samia ?
Niwaeleze tu hapo mnandaliwa kisaikolojia ripoti ya UNHRC iliyotoka inakuja na matokeo yake hivyo msishangae hizo porojo mnazoambiwa kwa sasa.
Ile maana ya cha mwizi huliwa na mwizi sio?Zile hazikupotea.. Waliibiana
Hivi Jana si ndio kasema uchumi wetu unaenda vizuri kuliko chumi za marekani na ulaya! Au nilisikia vibaya?Sio hazipo, ila kanyimwa π
πππ ila mama πππHivi Jana si ndio kasema uchumi wetu unaenda vizuri kuliko chumi za marekani na ulaya! Au nilisikia vibaya?
Mikopo iliyokopwa ndio imetumika kuja kununua hizi baiskeli na kuwagawia hawa kunguni kama Lucas Mwashambwa ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy The Sunk Cost Fallacy 2
Vipi tumepiga break gafla,je hatijatoka nje ya kioo au tilifunga mkanda?Hahaha kuna wakati alisema sisi ni masikini sana lazima kukopa