Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Wanaoitaka ni wale wanaofungua dunia hii katika masuala ya utalii na muingiliano wa watu wa mataifa mbalimbali.Unatukana nini Mama...
Pole. Chukua hatua.
Hiyo midege hatuitaki..
Hiyo ndio nidhamu aliyoitaka makazini, maana alidai Awamu iliyopita watu walikuwa na Nidhamu ya Woga.View attachment 2570297
Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta.
Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.
==============
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.
Hassara tupu..Wanaoitaka ni wale wanaofungua dunia hii katika masuala ya utalii na muingiliano wa watu wa mataifa mbalimbali.
Wanaoitaka ni wale wenye kujua maana ya wingi wa watalii huko mbugani na uhusiano wake katika ukuzaji wa bajeti halisi ya nchi.
Tule kulingana na urefu wa kambaView attachment 2570297
Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania wanatakiwa kuendeshwa kama punda ndio wanaleta.
Mwisho waboresheeni maslahi Yao pia vinginevyo Kuna syndicate kubwa sana ya wizi.
==============
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwakuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea, last Installments ilikuwa tulipe dola milioni 37, invoice imekuja dola milioni 86….. unauliza mkataba ulisemaje? hii imetokana na wapi?, ooh vifaa vimepanda bei, vipi? mkataba wetu ulisemaje”
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” ——— Rais Samia.
Wakati mwingine upole nao ni ufala tu!Mama nae upole umezidi khaa!
Ambaye mkuu wake ni mbarawaKwenye Wizara ya Ujenzi na uchukuzi ndo yaongoza
Zitto ameshaajitoa ufaham siku hizi ana macho lakini haoni ..Leo namuona yule mnafiki wa ACT Ayatollah Zitto Kabwe anakazania eti iundwe tume ya Kijaji kuchunguza pesa za Plea Bargaining wakati TRC tumepigwa parefu sana!
Tumjue pia aliyekopa mabilioni kwenye benki tano halafu akafanikiwa kusepa..!!!Tuwajue kwa majina wale wote waliohusika kwenye suala zima la ndege kuongeza cha juu, nasema tuwajue kwa majina, nafikiri pia muda umefika wananchi tuache tofauti zetu za udini na siasa, tuipiganie nchi kwa kuwataka wezi watoke na kufilisiwa, kuwaacha watazoea, nasema tuwajue kwa majina.
Dili kubwa kama hiyo haiwezi kufanyika bila Rais kujua na kushiriki, no wayTuwajue kwa majina wale wote waliohusika kwenye suala zima la ndege kuongeza cha juu, nasema tuwajue kwa majina, nafikiri pia muda umefika wananchi tuache tofauti zetu za udini na siasa, tuipiganie nchi kwa kuwataka wezi watoke na kufilisiwa, kuwaacha watazoea, nasema tuwajue kwa majina.
Ladis MatiioiiiiiiiTuwajue kwa majina wale wote waliohusika kwenye suala zima la ndege kuongeza cha juu, nasema tuwajue kwa majina, nafikiri pia muda umefika wananchi tuache tofauti zetu za udini na siasa, tuipiganie nchi kwa kuwataka wezi watoke na kufilisiwa, kuwaacha watazoea, nasema tuwajue kwa majina.
mm sioni vyama vya kutetea maslai ya raia hata vikikemea image vipo kama havipo ila wakina giggy na kina mwaka wakifanya tukio huko watu wanaitisha hadi press hii sio kawaida kabisa kuna kitu hakipo sawa..Tuwajue kwa majina wale wote waliohusika kwenye suala zima la ndege kuongeza cha juu, nasema tuwajue kwa majina, nafikiri pia muda umefika wananchi tuache tofauti zetu za udini na siasa, tuipiganie nchi kwa kuwataka wezi watoke na kufilisiwa, kuwaacha watazoea, nasema tuwajue kwa majina.
Ndio kajua na ndio kasema angekaa kimya tusingejua chochote.Dili kubwa kama hiyo haiwezi kufanyika bila Rais kujua na kushiriki, no way
Kachukua hatua gani, mbona analalamika wakati rungu analo yeye?Ndio kajua na ndio kasema angekaa kimya tusingejua chochote.