Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Achague kutiwa sumu kama Magufuli au kukaa kimya ale asali na mafisadiSijui nani alimshauri kufuta wale watendaji. Mbaya zaidi Waziri Mkuu Majaliwa ni kama kafumbwa macho na mdomo.
Hatari sana