Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ndio hapo sasa, alisema kuhusu 2025 wasubiri mpaka huko baadaeUNAFIKI ni kitu kibaya sana si alipiga marufuku watu kutangaza kuhusu kugombea 2025? [emoji15]
haisaidiiHata kwa dawa hawezi kupata kura yangu.
Sababu?Lakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.
Katiba inamruhusu kugombea mihula miwili ya kwake kwa hiyo ata 2030 chifu anaweza akatangaza piaBaada tu ya kusimikwa kuwa mtemi, mtemi Hangaya katangaza Nia lol mbona mapema?
Huyu mwanamke nae ana nyodo kweli.Ndo maana akaolewa mke wa tatu.
SO WHAT ???Wasalaam
Ndugu wanajamii mmesikia huko (wanawake wanaweza)..
Kwa ufahamu wangu na Mungu akitujalia Kwa haya ninayoona hakika 2025 ni Mama Samia
CCM oyeee,Mama oyeee sasa Kazi iliyobaki ni kuweka uwanja Sawa wa kidemocrasia..
Kwa haya ninayoona Kwa Kazi hizi Kwa muda huu mfupi kwakweli nitakua waajabu kama nisiposema
Samia 2025 twende
Nani kama mama hivi kuna linaloshindikana Kwa Mama, nimefurahi kwenye siku hii muhimu kuonyesha mwelekeo wako Mama Samia!!
Hongera Kwa uteuzi wa Mawaziri hawa wapya, tunasubiria wakuu wa mikoa na wilaya pia wakuu wa Idara Mbali mbali za serikali wabadilishwe,hawaendi na maelekezo na dira yako Mama!!
Katiba ipi?Katiba inataka Rais atoke Bara makamu wake atoke visiwani labda wabadili sheria
Ndio hapo sasa, alisema kuhusu 2025 wasubiri mpaka huko baadae
No,Lakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.
[emoji23]Rais Samia 2025 atapita bila kupingwa maana hata wana bavicha wanamkubali sana baada ya kuonewa sana kwa miaka 5