Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

No,
Ni mtanzania sio mzanzibari,
Mtanzania gani yuko elligble kugombea bara? Lazima awe mbara. Ndiyo maana wazanzibari hawasimami bara na wabara hawasimami zanzibar. Labda kama mnataka kuforce tu kwa vile dola ni yenu.
 
Sijaisoma katiba. Inatoa mamlaka ya mzanzibari kusimama bara agombee uraisi? Inaelekea mama anataka awe raisi wa bara. Hebu tuwekee kifungu kinachodadavua hili suala.
Kwani Hassan mwinyi si aligombea mihula miwili?
 
Mama kuwa makini na haya mambo ya uchaguzi wa 2025....ni bora ukae kimya, unaweza kuyumbishwa kuelekea hiyo 2025 mpaka ukajuta....
Anaweza hata asifike hiyo 2025 yaani baada afanye kimya kimya yeye anaropoka kabisa
Halafu naliona kabisa anguko la ccm 2025 Kama huyu Mama atasimama nampinzani mwenye nguvu.
 
Wabongo kwa kujifanya wajuaji wa mambo hatujambo. Eti hawatamchagua dsm, mbeya na arusha, sijui huu utafiti wako uchwara umeufanya lini ukakupa haya majibu?
 
Ukisikia ndoto za alinacha,yakhee machogo hawakutaki, labda labda uanze kuwazingua kuwa wewe ni Mnyamwezi wa Tabora asili na asili lakini kwa kung'ang'ania wewe ni Mzanzibari mkaazi,itakuwa ngumu sana wakuachie uendelee,wambie tu Suluhu asili yake ni kutoka ukoo wa chifu wa Wanyamwezi au wasukuma, yaani babu yako ni mnyamwezi akiitwa Suluhu. Ila ya Mungu mengi wanaweza kukuachia,ila Uraisi kwa vigogo machogo wabobezi wa CCM naona nafasi ipo wazi .
Naona Da Sami amelianzisha ,KiGwajima tunasema ameliamsha dude .
 
Mtanzania gani yuko elligble kugombea bara? Lazima awe mbara. Ndiyo maana wazanzibari hawasimami bara na wabara hawasimami zanzibar. Labda kama mnataka kuforce tu kwa vile dola ni yenu.
Kwanza tafuta tofauti ya tanganyika na tanzania halafu ndio uje ubishane bwashehe
 
its too early for to start comitting herself to 2025/2030.

anayo mengi ya kuyafanya kwanza..kabla ya kuanza kutupa mlengo wake wa miaka ijayo katika siasa.
Yaani ametangaza nia miaka 4 kabla ya uchaguzi! Maana yake ni kuwa miaka yote hiyo atakuwa anafanya kazi akiwa anauota 2025.

Vv
 
Hilo lipowazi ila apige kazi sio majungu .nampenda Samia hadi naumwa

USSR
Tozo, mafuta ya kula bei juu, petroli bei iko juu, kila kitu kinapanda kila kukicha.
 
Sawa Madame President..Cha msingi fanya kinachoonekana
 
Amefanya vizuri kuwatahadharisha mapena wanaojikusanya kusanya vichochoroni huko.
 
Eti 2025 ndo Rais wa kike atachaguliwa. Mbona anajihakikishia sana. Hapo ndo utajua CCM huwa haitegemei kura za wananchi, bali wanakuwa na matokeo yao tayari.
Nyie mkisema 2025 mnachukua nchi huwa nakuwa mmeshapiga kura

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…