Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Wanawake wenzio wengi wanamkubali, wewe unakwama wapi dada!!!! Unataka uongozwe na rais katili?

Ukweli usemwe,,, Huyu mama imani yake pia imechangia kuwa na huruma, hofu ya Mungu, dhuluma hapendi, rais wa wanyonge/masikini na tajiri wote anawatakia mazuri.

Binadamu hamkosagi maneno,,, akifanya mabaya mutamponda, akifanya mazuli mutatafuta lolote lile baya ili tu aonekane mbaya.

1 Mwinyi[emoji818]
2 Kikwete[emoji818] japo aliwaachilia sana walaji, but maisha yalikuwa poa mazee
3 Mama samia[emoji818]

Nyerere[emoji777]
Mkapa [emoji777]
Magu[emoji777]

Ukatili wa vipi?

Mboe yuko wapi?
 
Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke.

"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana

Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.

Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani.

Alisema Rais Samia Suluhu

Mengineyo, Rais Samia amesema ataendeleza mema yote katika awamu zote na watajitahidi kuongeza mema mengine.

Kuhusu usawa wa jinsia amesema hawajafika lakini wanawake wataendelea kuongezeka kwani asipofanya yeye hakuna ambae atafanya.
Kaongea na nani haya masuala? Kwani mzanzibari bado ataendelea kuongoza bara? Zanzibar watakubali mbara akienda kuongoza kwao?
 
Kwa kazi gani amefanya hadi atamani urais?
Mungu amekujaribu, fanya kazi ionekane
Samia anafikiri wanaume ni mazoba, mfumo dume ndiyo unaongoza nchi, wewe upo hapo kwa sababu ya katiba

Nasubiri CCM ikosee, iitwe chama cha upinzani
 
Lakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.
Sijaisoma katiba. Inatoa mamlaka ya mzanzibari kusimama bara agombee uraisi? Inaelekea mama anataka awe raisi wa bara. Hebu tuwekee kifungu kinachodadavua hili suala.
 
No,
Ni mtanzania sio mzanzibari,
 
Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke.

"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana

Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.

Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani.

Alisema Rais Samia Suluhu

Mengineyo, Rais Samia amesema ataendeleza mema yote katika awamu zote na watajitahidi kuongeza mema mengine.

Kuhusu usawa wa jinsia amesema hawajafika lakini wanawake wataendelea kuongezeka kwani asipofanya yeye hakuna ambae atafanya.
Kama kauli hii kaitoa rais SSH tayari ameshapoteza mwelekeo hakuna atakayemchagua Mbeya, Mwanza, Arusha na Dar Es Salaam

Utajitangazaje utagombea urais wakati una miezi sita tu tangu ushike madaraka ya ngekewa

Kauli gani gani yenye ukakasi kama hii?

Kwa hiyo JPM aliangamizwa na nini ili wadai ni kudra ya menyezi Mungu wachukue nafasi ya urais?

Kwa hiyo hata madai yanayodaiwa kwamba JPM alihujumiwa ni kweli na yeye anajua?

Wanawake anaojifariji watampigia kura ndio hawamtaki kabisa kumsikia lakini wanamg'ong'a

*She will never be voted by anybody nor win the general election race come 2025.

"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana
Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani"

Hii kauli amewadhalilisha sana wanaume kwa kujiona anauwezo na nguvu cha kufanya chochote kwa raia wa nchi-NO
 
Hivi gazeti la Uhuru walitoa wapi zile NONDO kuwa kasema hana mpango wa kuwania urais 2025?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Itakuwa ni hao hapo juu wamejipangia na vyeo kabisa [emoji23]
GPBMM+
 
Sijaisoma katiba. Inatoa mamlaka ya mzanzibari kusimama bara agombee uraisi? Inaelekea mama anataka awe raisi wa bara. Hebu tuwekee kifungu kinachodadavua hili suala.
kwaiyo mwinyi alikua ni Rais wa morocco au?
 
Waliozoea mfumo dume wamekasirika haooo,
Na wengine ndio wanaitumia hiyo nafasi kutoa hasira zao kwa mama,
Piga kazi mama tuko pamoja
 
Back
Top Bottom