Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Aombe basi hata hiyo 2025 afike basi, miezi sita tu toka aingie madarakani mama wa watu kachoka na kuchokwa vibaya, makada wenyewe wanajipanga kumtengua mapema.
Umedanganywa ukiwa wapi?

USSR
 
Mipasho na Ubaguzi.

Hii italeta shida mwanamke hatakiwi kushindana na mwanaume kwa sababu alitoka kwa mwanaume na ndio mana mwanaume ni kichwa cha familia.
 
mimi namuomba mungu inshaallah mama samia ushindwe na usipite kwenye uchaguzi wa urais tena inshaallah mwisho wako iwe hiyo minne mimi sikuchagui kabisa
 
Wewe ukifa then anayekufuata akarithi kiti utasema ni baraka toka kwa Mungu amerithi kiti chako??? Au mi ndiyo sielewi?
Kudra maana yake ni mpango wa Mungu, yaani ni kwa mpango wa Mungu ndivyo alivyotaka iwe
 
Kudra maana yake ni mpango wa Mungu, yaani ni kwa mpango wa Mungu ndivyo alivyotaka iwe
Inasikitisha sana. Yaani kifo cha Dkt JPM kwa kauli ya Mama na Waziri Mkuu enzi zile zinaashiria kilichotokea kilipangwa ndiyo maana waziri mkuu alisema kuwa Dkt JPM anaendelea vizuri kumbe tayari alikuwa kesha kufa. Ila mafisadi watashindwa tu.
 
Back
Top Bottom