Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

Watu wanatekwa na kuuliwa, ufisadi na upendeleo kwa wazanzibar wenzake ndiyo maendeleo?
Waliotekwa wanaendelea kutafutwa na uchunguzi wa kina unaendelea kufanyika.lakini hata wewe kama una taarifa zozote zinazoweza kusaidia uchunguzi au kupatikana kwa wahusika unaweza kusaidia kwa kutoa taarifa kwa jeshi la polisi.

Uache uropokaji wako.
 
Mama wanataka kitabu kipya,zibaki mbili CIA,NIC,MOSSAD,M16 Wamefanya utafiti!
 
We ni mwendawazimu, intelijensia ya kujua CHADEMA wanapanga kumpindua ipo juu lakini ya kukamata watekaji na wauaji ambao ni CCM wenzako haipo, shame on you
 
We ni mwendawazimu, intelijensia ya kujua CHADEMA wanapanga kumpindua ipo juu lakini ya kukamata watekaji na wauaji ambao ni CCM wenzako haipo, shame on you
CHADEMA ni lazima washughulikiwe na kuwa nao chonjo sana maana wamekuwa na kauli za kichochezi na zenye kuhatarisha usalama wa Taifa
 
Moja ya 4R za Mama ni ustahimilivu kwa hiyo vyema akaziishi kama anavyonadi
 

Hivyo wasubiri kutekwa na wanyamaze wakati viongozi wanatekwa na kuuliwa. Kwa hili Chadema wapo sawa na watanzania wapo sawa kuhoji. Chadema kukimbia haikuwa kitu cha kujisifia bali kulaaniwa. Hakuna muuaji mpenzi na mbaya wote ni sawa tu.
 
Kama vipi mwambie awaue wote ili CCM ishinde kwa kishindo,tumechoka hii mipasho as if yeye ndiye anatupa pumzi ya uhai.
 
Acha ujinga unadhani Lissu na watu wote wanyamazie na wasichukue hatua yeyote pale mauaji holela yakiyekelezwa na viongozi wao kutekwa,kuuwa baada ya kumwagiwa tindikali sababu ya 4R Uchwara?
Weo umepitiiza uchwa umekuwa mwehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…