Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Wengi wao waliopiga makofi hawafahamu tofauti ya Lais na Rais.Mfano ni wewe.Watu wengi wamebubujikwa na machozi ya furaha, baada ya maneno hayo ya busara ya Laisi wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wao waliopiga makofi hawafahamu tofauti ya Lais na Rais.Mfano ni wewe.Watu wengi wamebubujikwa na machozi ya furaha, baada ya maneno hayo ya busara ya Laisi wetu
Unaamini Rais na Lais sijui maana yakeWengi wao waliopiga makofi hawafahamu tofauti ya Lais na na Rais.Mfano ni wewe.
Hatua zipi? Rais haruhusiwi kukosolewa?Uache uropokaji wako kabla hatua kali hazijachukuliwa dhidi yako.
dah!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu wengi sana. Pale alipoelezea juhudi zake kubwa za kuliunganisha Taifa na kuwaleta pamoja watanzania tangia pale alipokula kiapo cha Urais wa Taifa letu.
Ameeleza namna alivyokuja na 4R katika kujenga kuaminiana na kuliunganisha Taifa ambalo lilikuwa limegawanyika kutokana na itikadi za kisiasa ,mpaka kupelekea watu wengine kukimbia nchi.na hapa mnaweza kukumbuka Lissu na Lema walivyokimbilia uhamishoni.
Rais wetu mpendwa amesema ni katika hali hiyo aliamua kuja na mpango wa 4R ili watu wote tuishi kama Taifa na tujenge Taifa letu kwa pamoja.amesema lakini kwa bahati mbaya sana kuna watu wamesahau ni wapi tulikotoka,ni wapi na mangapi na magumu mangapi wameyapitia katika maisha yao.lakini leo wameyasahau yote na kuanza kuleta vurugu,lugha za kichochezi, uchonganishi,uzushi na uongo na kupanga mipango ovu.
Amesema hata hivyo haishangazi kwa sababu kuna watu wenyewe hawapendi kuishi katika amani au kuona Taifa na nchi ikiwa katika Amani.ndio maana watu wa aina yao muda wote wanataka mavurugu vurugu tu.amesema hata hivyo hata sita kuwachukulia hatua kali za kisheria watakao jaribu kuchezea amani ya Taifa letu.Na kwamba 4R ni katika kutuungaisha na kutuleta pamoja watanzania na siyo kwa ajili ya kuvunja sheria .amesema sheria zipo palepale na zitatumika kama inavyotakiwa kwa mujibu wa katiba.
Nami Mwashambwa Lucas namuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu mpendwa.Embu fikiria ndugu zangu Mtu kama lissu hivi anaanzia wapi kumtukana,kumbagua ,kumtweza na kumtolea lugha za kumshushia heshima Mheshimiwa Rais wetu? Anaanzia wapi kumdharau Rais Samia ndugu zangu?anaanzia wapi kuona Rais Samia hafai? Anaanzia wapi kuona na kusema Rais Samia ni Dikteta? Lissu anawafahamu madikteta? Anawafahamu viongozi makatili?
Hivi Lissu angeanzia wapi kukanyaga katika ardhi ya Tanzania akiwa hai kama siyo Rais Samia? Angeanzia wapi kuja kupanda katika majukwaa yaliyo katika ardhi ya Tanzania na kutia matusi yake na bado akaachwa tu? Angeanzia wapi kuja hapa Nchini mpaka kupata nafasi ya kuchangiwa pesa za gari ikiwepo kutoka CCM? Angeanzia wapi Lissu kuja kuvuta oksijeni ya Tanzania? Angepata wapi nafasi ya kwenda hadi kusalimia ndugu zake kijijini kwake , kuhudhuria kanisani ,kuonana na rafiki zake ,kushiriki moja kwa moja mikutano ya chama chake?
Angepata wapi nafasi hiyo lissu kama siyo Mama yetu Mpendwa Rais Samia? Nani aliyemrejesha Nchini Kama siyo Rais Samia? Nani aliye mfuata hadi ulaya na kumhakikishia usalama akirejea Nchini kama siyo Rais Samia? Amesahau haya yote? Alikuwa na kesi ngapi mahakamani? Amefunguliwa kesi gani mahakamani wakati huu wa Rais Samia licha ya Lissu kutukana mimatusi yake na kutoa lugha zake za kibaguzi na kichochezi?
Kwanini anakosa shukurani na kutambua mchango na nguvu ya Rais Samia katika kuimarisha demokrasia, utulivu,amani na umoja wa kitaifa? Nani alimtembelea hospitalini kama siyo Rais Samia?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jf bhana..hahahahahMwanamke lake jiko
Chawa kama chawa lipo kazini kaka, usishangae.dah!
Unajua kama mzazi unawaza, unaazua!Chawa kama chawa lipo kazini kaka, usishangae.
Wapate misukosuko kama ya nyuma wakimbie Nchi wasisumbue.Ndugu zangu Watanzania,

Mione huruma! Hajui cha kufanyaHuyu bibi huwa anaona hii nchi ni mali yake binafsi na sisi wengine tunaishi kwa hisani yake
Anziishi na ndio maana ameendelea kuwa mvumilivu sana.ila sasa uvumilivu una mwisho wake.Rais wetu hayupo tayari kuendelea kuona watu wakihatarisha usalama wetu kwa maneno ,lugha za kichochezi na mipango ovu ya kuharibu amani na usalama wa Taifa letuMoja ya 4R za Mama ni ustahimilivu kwa hiyo vyema akaziishi kama anavyonadi
Watawajibishwa kwa mujibu wa sheria.waache mara moja kuvunja sheria kwa makusudiWafuasi wa chadema watapewa kesi za Ugaidi
Tiini sheria bila shuruti.Sorry kwani ww ni mtanganyika au znz? Uctupangie watanganyika.
All the best
Maandamano Yako lini Ili ukaandamane tujue ipi porojoPorojo za kimama
Wewe lete ujinga wako ukiwa kwenye fake ID tu.lakini usijaribu kuleta utani kwenye usalama wa Taifa letu.Kama vipi mwambie awaue wote ili CCM ishinde kwa kishindo,tumechoka hii mipasho as if yeye ndiye anatupa pumzi ya uhai.
Anziishi na ndio maana ameendelea kuwa mvumilivu sana.ila sasa uvumilivu una mwisho wake.Rais wetu hayupo tayari kuendelea kuona watu wakihatarisha usalama wetu kwa maneno ,lugha za kichochezi na mipango ovu ya kuharibu amani na usalama wa Taifa letu
Huo ni ubaguzi wawatu wa kanda yenuYeye pekee na familia ake ndiyo anajiona ana haki na Tanzania kuliko hata sisi wabara wenyewe
Huoni wanasema kuwa Samia Must Go? Sasa wanataka wafanye nini kama siyo kuleta na kufanya Uhaini?Lucas Mwashambwa ni mipango gani ya CDM kwa rejea zako imewahi kuwa tishio? Au hata yale maandamano ya kipindi kile yalikuwa na hatarishi ipi ya amani? Watu waliandamana walipomaliza maisha yakaendelea. Watanzania waoga sio kama nchi za wenzetu hatujafikia huko.