Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki na mivutano ya kisiasahukwamisha maendeleo ya nchi.

Amesema hayo leo Julai 9, 2026, wakati wa kushuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa kati ya CCM na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar.


Your browser is not able to display this video.
 
CCM ndiyo wenye siaisa za chuki kwani wanateka na kuua wapinzani badala ya kushindana nao kwa hoja.
 
Wanasiasa wana tabia ya kuona watu wote ni wajinga, na wenye akili ni wao tu.
wanasiasa wa wapi
kama ni watanzania hata wao wenyewe wanajua tunajua kwamba wao ni wajinga zaidi ya wananchi.
 
Huyo nyang'au sio rais , hakuchaguliwa halafu yeye na genge lake ndio waleta vurugu kupitia ufisadi, mauaji, na utekaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…