Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Kauli hiyo itatolewa kwenye kitabu chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ku face firing squad.Ipo siku kauli zao hizo zitawapeleka jela
Ingia kwa heshima humu jukwaaniLucas Mbwashambwa unataka kunitoa damu?
wewe kama nani kuamua heshima ni ipi na ipi sio heshima?Ingia kwa heshima humu jukwaani
Mimi ni Mwashambwawewe kama nani kuamua heshima ni ipi na ipi sio heshima?
Wewe huwezi ukaelewa maana huna uwezo wa kuelewa mambo kama hayo yanayohitaji mtu mwenye akili na upeo mkubwa.Hayo ni matamanio yako lakini siyo hali halisi,umefanya utafiti gani kuja hitimisho hilo? No research no right to speak. Uchawa umepunguza sana reasoning capacity yako(kama uliwahi huwa nayo).
Wewe una akili gani zaidi ya uchawa? Kila mtu mwenye akili hapa jukwaani anajua kuwa wewe ni hamnazo. Mali huna hata akili nazo ukose? Bora baba yako angekutoa ndagu apate hela tu kuliko kufuga zwazwa kama wewe.Wewe huwezi ukaelewa maana huna uwezo wa kuelewa mambo kama hayo yanayohitaji mtu mwenye akili na upeo mkubwa.