Rais Samia: Wapinzani nimewapa kazi ya kukutana na kuzungumza, walete mapendekezo yao tukubaliane

Rais anapaswa kushauriwa kuwa Katiba na sheria vinapaswa kuheshimiwa na siyo kutengeneza makubaliano nje ya sheria.

Tunataka wananchi wasikilizwe maana nimeanza kunusa ubaguzi unaowatenga wananchi na kuwapa nguvu wanasiasa kuhusu hatima ya nchi.

Upinzani wapo kisheria na hilo liheshimiwe kisheria. Wananchi ndiyo wenye nchi. Wape uhuru wao unconditionally
 
Mpaka hayo maoni kuja kufanyiwa kazi tayari ni 2024 mwishoni.
 
Asubiri mikutano ya siasa inayoanza hivi karibuni ndio atajua kuwa hajui.
Wenzake watamjibu kwa fact majukwaani na hao anaodhani wanamkubali huku njaa zikiwatesa ndio atawajua

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…