Tena mama anaona Rostam mwenyewe mwenye pesa zake wanavyomzingua sebuse sisi akina yakhee ? Mimi Nina marafiki kadhaa wakenya walikuja Tanzania kizembe tu na mitaji ya ngama mmojawapo alianzisha kibiashara kama vile vya forever living kuuza sijui virutubisho na ushauri nasaha sasa hivi ni milionea yaani ukienda ofisini kwake utakuta mitz kibao imejazana wengine wananunua vinavyoitwa virubisho sijui mchanganyiko wa miti shamba na vingine ambavyo hata wao wanaweza kujichanganyia tu huko mtaani wakatumia. Jamaa alichogundua ni kwamba watz wana stress nyingi kutokana na sababu mbalimbali na ni wazembe so ukienda kwake ni kama anakufundisha maisha kwa kisingizio cha ushauri nasaha basi unafanikiwa unaenda kuleta na likondoo jingine kama wewe ulivyokuwa yeye mfuko unaendelea kutuna.sasa mambo kama haya ni ngumu upande wa pili.Kuwekeza Kenya nishuguli pevu saaana kuliko kuwekeza Tanzania. Wakenya wanawinda ardhi . kumbukeni hata enzi za hayati, raisi wa Kenya aliwahisema watanzania ruksa kuoa Kenya . Mungu atupiganie
Duuuuh!!! Nimemkumbuka gafla jemadari na shujaaa wa AfricaWakati wenyewe ardhi yote bado inamilikiwa na akina Lord Delamere na familia za kisiasa za akina Kenyata na oligarchs wengineo.
Cheza na watu wote lakini usicheze na Mkenya. Nilifanya kosa la kumtumia mmoja kama referee wangu kwenye kazi moja nzuri ajabu. Weeeh! Nilikosa ile kazi na nilipofuatilia memba mmoja wa hiring committee akaniambia kuwa kulikuwa na recommendation letter moja ilikuwa mbaya mno; na akamtaja jina yule Mkenya. Nilishangaa kwa sababu jamaa alikuwa mshikaji sana na tulikuwa tumefanya kazi pamoja sehemu mbalimbali duniani japo yeye alikuwa senior kidogo. Wana roho mbaya ajabu!
Njoo uchukue dual-citizenship, uone ka hununui ardhi kulingana na uwezo wako. Nyie ndio Mh. Mama Samia anaongelea mbungeni kuwahusu. Mwache hiyo akili.Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu. Wakenya wanahofia TZ kiasi kwamba hawataki hata apewe ajira za ofisi za UN ambazo siyo za serikali yao. Mama Tibaijuka anaelwa alivyokuwa anapigwa vita na Wakenya. Wako tayari nafasi ichukuliwe na mtu wa nje ya EAC kuliko m-TZ.
Mtego huu uliwahi letwa hapa kwenye suala la ardhi eti waruhusiwe kumiliki ardhi TZ na wa-TZ waruhusiwe kumiliki ardhi Kenya. Ilishindikana maana TZ tulijua hakuna uwezekanao wa m-TZ kumiliki ardhi Kenya. Rais epuka mtego huo usio na faida kwa TZ.
Wewe mtu umesoma thrd inavyoweka wazi hali ya Kenya? Unawezaje kuitwa kufanyakazi kwenye nchi ya wenye tabia ya kutopenda wengine? anayekaribisha ni rais lakini wanaokuajili siyo rais. Utakwama tu!Mimi sioni mtego wowote hapo, Kama umeruhusiwa kwenda kufanya kazi kenya bila working permit bado vigezo vitazingatiwa lazima utakuwa na utambulisho wako wa wewe ni Nani? Na sijaona sehemu wakisema ukanunue ardhi huko na wao pia siamini Kama wataruhusiwa kuja kununua ardhi huku, hayo ni mambo ya mahusiano ya kibiashara zaidi Ili kuchangamsha akili zetu na kuondoa uvivu wa watanzania na tunaogopa wasije Ili tuzidi kulala, wewe ukiwa na hela yako kenya ni sehemu ya kwenda kujifunza practical ya utengenezaji wa vitu au kuongeza thamani malighafi tulizonazo sasa hizo working permit huoni zitakukwamisha? Angalia wenye mitaji wanavyo copy bidhaa kenya na kuzitengeneza hapa na sasa hivi tunawaita mamilionea, Sabuni za miche na unga, maziwa, viungo na jinsi ya kupaki, hebu twendeni kenya tukachue ujuzi tumepata hiyo nafasi, hata wao wakija watakuja na hela Kama ni nyumba watalipa kodi kwani watakuja kukaa huku bure? Na vigezo na mashariti vitazingatiwa huwezi kuambiwa ruhusa kufanya kazi wewe ukakimbilia kununua kiwanja.
Haya unachozungumza ndio uhalisia wa huko Kenya?? Ni Kenya ipo hiyo?Mimi sioni mtego wowote hapo, Kama umeruhusiwa kwenda kufanya kazi kenya bila working permit bado vigezo vitazingatiwa lazima utakuwa na utambulisho wako wa wewe ni Nani? Na sijaona sehemu wakisema ukanunue ardhi huko na wao pia siamini Kama wataruhusiwa kuja kununua ardhi huku, hayo ni mambo ya mahusiano ya kibiashara zaidi Ili kuchangamsha akili zetu na kuondoa uvivu wa watanzania na tunaogopa wasije Ili tuzidi kulala, wewe ukiwa na hela yako kenya ni sehemu ya kwenda kujifunza practical ya utengenezaji wa vitu au kuongeza thamani malighafi tulizonazo sasa hizo working permit huoni zitakukwamisha? Angalia wenye mitaji wanavyo copy bidhaa kenya na kuzitengeneza hapa na sasa hivi tunawaita mamilionea, Sabuni za miche na unga, maziwa, viungo na jinsi ya kupaki, hebu twendeni kenya tukachue ujuzi tumepata hiyo nafasi, hata wao wakija watakuja na hela Kama ni nyumba watalipa kodi kwani watakuja kukaa huku bure? Na vigezo na mashariti vitazingatiwa huwezi kuambiwa ruhusa kufanya kazi wewe ukakimbilia kununua kiwanja.
Unatita, wewe ni Mkenya. Ununue ardhi wapi na ya nini? Ardhi ya kujenga nyumba utapata, sasa hiyo ndo inipeleke Kenya? Nataka ardhi ya kuzalisha maua na kahawa, ipo? Nani akuuzie. Acha udanganyifu.Njoo uchukue dual-citizenship, uone ka hununui ardhi kulingana na uwezo wako. Nyie ndio Mh. Mama Samia anaongelea mbungeni kuwahusu. Mwache hiyo akili.
EeeenHeee!Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu.
Wakenya wanahofia TZ kiasi kwamba hawataki hata apewe ajira za ofisi za UN ambazo siyo za Serikali yao. Mama Tibaijuka anaelewa alivyokuwa anapigwa vita na Wakenya. Wako tayari nafasi ichukuliwe na mtu wa nje ya EAC kuliko Mtanzania.
Mtego huu uliwahi letwa hapa kwenye suala la ardhi eti waruhusiwe kumiliki ardhi TZ na Watanzania waruhusiwe kumiliki ardhi Kenya. Ilishindikana maana TZ tulijua hakuna uwezekanao wa m-TZ kumiliki ardhi Kenya.
Rais epuka mtego huo usio na faida kwa Tanzania.
Sema huna hela wala connection ya kufanya hayo unayoongelea, acha kuongea vitu usivyovijua. Ati mjaluo hataki kumsikia mkikuyu,... hivi wewe ndo unajua sana kutiliko au waishi huku? Acha kupotosha jamii, ka huna la kusema tulia. Watu wanaishi na amani huku, chuki haileti chakula mezani, dadeq!Haya unachozungumza ndio uhalisia wa huko Kenya?? Ni Kenya ipo hiyo?
Kenya mjaluo hataki hataa kumsikia mkikuyu achilia mbali mtanzania
Ukienda na kuondoka wa kwa sio shida, shida nenda kaishi rasmi.
Umesahau Jaguar na watu wake walivyotaka kuwatimua wamachinga wa kitanzania?
Imagine, wamachinga tu ambao hawapati chochote walikuwa wanawaonea wivu, Leo ije kuwa wewe kwenda kufanya kazi au kufungua kampuni kwao.
Mwendazake alikuwa kilaza tuMambo mengi ya ajabu yatatokea baada ya kifo cha mtu mwenye akili nyingi jpm.
And to be fair,it's a section of Kenyans from certain communities who consider themselves better-off than the rest of them.Cheza na watu wote lakini usicheze na Mkenya.
Wewe huna hela, ungekuwa nazo, hata Ulaya unanunua ardhi ya kuzalisha utakacho. Narudia, tafuta hela, na sio kidogo! 🤣Ununue ardhi wapi na ya nini? Ardhi ya kujenga nyumba utapata, sasa hiyo ndo inipeleke Kenya? Nataka ardhi ya kuzalisha maua na kahawa, ipo? Nani akuuzie. Acha udanganyifu.
Mkuu, sasa wewe hapa unakataa nini, jambo lililo wazi kabisa kwa mtu mwenye akili huru kuliona!Sema huna hela wala connection ya kufanya hayo unayoongelea, acha kuongea vitu usivyovijua. Ati mjaluo hataki kumsikia mkikuyu,... hivi wewe ndo unajua sana kutiliko au waishi huku? Acha kupotosha jamii, ka huna la kusema tulia. Watu wanaishi na amani huku, chuki haileti chakula mezani, dadeq!
Watanzania wengi hawaendelei kwa sababu ya negativity. Wao kila wakati, kila mahali wanafikiria kudhulumiwa tu. Matokeo yake hawawezi kufanya chochote maana kila wanapogusa, wanaona wataibiwa au wataonewa.Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu.
Wakenya wanahofia TZ kiasi kwamba hawataki hata apewe ajira za ofisi za UN ambazo siyo za Serikali yao. Mama Tibaijuka anaelewa alivyokuwa anapigwa vita na Wakenya. Wako tayari nafasi ichukuliwe na mtu wa nje ya EAC kuliko Mtanzania.
Mtego huu uliwahi letwa hapa kwenye suala la ardhi eti waruhusiwe kumiliki ardhi TZ na Watanzania waruhusiwe kumiliki ardhi Kenya. Ilishindikana maana TZ tulijua hakuna uwezekanao wa m-TZ kumiliki ardhi Kenya.
Rais epuka mtego huo usio na faida kwa Tanzania.
Endelea kuona!Mkuu, sasa wewe hapa unakataa nini, jambo lililo wazi kabisa kwa mtu mwenye akili huru kuliona!
Ndiyo, nitaendelea, na unapoleta upotoshaji wako hapa nitauona na kuukataa.Endelea kuona!
Kuna haja ya kutilia mashaka uwezo wa akili yako. Kumtambua mwenye akili na asiye na akili, kunahitaji kiwango fulani cha akili.Mambo mengi ya ajabu yatatokea baada ya kifo cha mtu mwenye akili nyingi jpm.
Kwa uzoefu wake katika siasa na diplomasia ya hizi nchi, nahisi haya usemayo Mama anayajua vizuri sana tu. Katika biashara na mambo mengine, kukaa na adui yako au mnafiki ni kitu cha kawaida. Nadhani Mama anajua ni maslahi yapi anayoyapa kipaumbele kwa waTz na yapi hayapi kipaumbele (mf. nadhani sisi tunachotaka ni biashara zaidi na kuuza bidhaa zetu kwao, kuongeza utalii n.k, lakini sidhani kama tunahitaji ajira zao, wao wanataka kuingia na kuuza bidhaa na pia kumiliki ardh, hapa hawataruhusiwa) na huenda tukayaona haya mbeleni. Sisi wananchi wa Tz nasi tuwe makini na tuwe tayari kwa ushindani.Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu.
Wakenya wanahofia TZ kiasi kwamba hawataki hata apewe ajira za ofisi za UN ambazo siyo za Serikali yao. Mama Tibaijuka anaelewa alivyokuwa anapigwa vita na Wakenya. Wako tayari nafasi ichukuliwe na mtu wa nje ya EAC kuliko Mtanzania.
Mtego huu uliwahi letwa hapa kwenye suala la ardhi eti waruhusiwe kumiliki ardhi TZ na Watanzania waruhusiwe kumiliki ardhi Kenya. Ilishindikana maana TZ tulijua hakuna uwezekanao wa m-TZ kumiliki ardhi Kenya.
Rais epuka mtego huo usio na faida kwa Tanzania.