Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio mpotoshaji, endelea kuota ukabila wetu, sisi wacha tuchape kazi. Btw, my seniors are from tribes you're talking about, and am proud, just wanted to let you know.Ndiyo, nitaendelea, na unapoleta upotoshaji wako hapa nitauona na kuukataa.
Sijui kama una akili ya kutosha. Unalinganisha Kenya na Ulaya! Kenya wanaopigana kwa mishale kwa sababu ya makabila? Kenya wanakataa mahindi ya TZ bila sababu?Wewe huna hela, ungekuwa nazo, hata Ulaya unanunua ardhi ya kuzalisha utakacho. Narudia, tafuta hela, na sio kidogo! 🤣
Mimi sioti. I'll state the facts regardless of how unpleasant they are to hear.Wewe ndio mpotoshaji, endelea kuota ukabila wetu, sisi wacha tuchape kazi. Btw, my seniors are from tribes you're talking about, and am proud, just wanted to let you know.
Ukijifanya wajua sana kuliko boss wako, wataka ufike mbali tena?Nimefanya kazi na watu wenye asili ya Kenya,ni wabaguzi na WANAJIPENDEKEZA sana kwa
ma-bosi.
Naunga mkono hoja yako 100%.
Raia hohehahe, anapoongea utajua tu!Sijui kama una akili ya kutosha. Unalinganisha Kenya na Ulaya! Kenya wanaopigana kwa mishale kwa sababu ya makabila? Kenya wanakataa mahindi ya TZ bila sababu?
Boss, m-TZ akitafuta ardhi Kenya ujue ana matatizo. Ardhi ya TZ inatosha kwa kila kitu. Kenya ardhi yote ya maana inashikiliwa na watu wa London, wengine wote ni labourers.
Ni umasikini tu ndo unatusumbua sasa mitaji gani hiyo ya kimachinga? Hata kulipa kodi hailipi na mazingira yanachafuka, peleka mtaji wa maana na hata kuishi unaishi sehemu za watu wanajielewa na waliofanikiwa na siyo kwenda kuishi uswahilini watu wanastess za maisha ya chini wanaona umeenda kunyanganya fursa zao.Haya unachozungumza ndio uhalisia wa huko Kenya?? Ni Kenya ipo hiyo?
Kenya mjaluo hataki hataa kumsikia mkikuyu achilia mbali mtanzania
Ukienda na kuondoka wa kwa sio shida, shida nenda kaishi rasmi.
Umesahau Jaguar na watu wake walivyotaka kuwatimua wamachinga wa kitanzania?
Imagine, wamachinga tu ambao hawapati chochote walikuwa wanawaonea wivu, Leo ije kuwa wewe kwenda kufanya kazi au kufungua kampuni kwao.
Wanajua WaTz ni mambulura, yapo yapo tuu. Yakipewa juice na kababu yanajiachia, mkija kushituka mara paaap mlima kilimanjaro upo kenya, mara paap oldivai gorge ipo kenya, mara paap watalii watokee kenya Masai Mara kuingia Serengeti kwa kibali kile kile maana sisi ni ndugu, mara paap Kenya Air ways iwe ina leta watalii moja kwa moja toka mabara ya ulaya na amerikka kutua JNIA, KIA, at el, pasipo kuulizwa sisi ni ndugu bhana, gesi paap ipo kenya kwa wananchi wa huko wanauziwa mtungi mdogo kwa Tsh, 8,000/= sisi waTz tuanauziwa Tsh, 28,000/-. Atakeye kuja kuvitengua hivi hadi rais wa awamu ya 10. Safari bado sana kufikia nchi ya ahadi. Rais wa awamu ya kumi baada ya miaka 40 ijayoWakenya mbona wanajikomba sana kwetu?
Mmmmh! Boss! Usiwe kama Lissu kujifagilia na matokeo yake anashindwa hata kushiriki midahalo ya maana pale VOA. Nini kibaya kiasi cha kusema yote hayo? Viongozi wote hutenda yasiyofaa na yanayofaa. Iwe TZ, Israel, US au Korea. Kwa umri wangu naweza kuwaona vizuri marais Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM. Nawajua na naweza kuona maovu yote yaliyodhalilisha taifa kwa utawala wao. Hivi umesahau kwamba nyuma tu kidogo, rais wetu alisafiri hadi kufikia kiwango cha kupokelewa na wana mziki tu! So low for a president and aibu!Kuna haja ya kutilia mashaka uwezo wa akili yako. Kumtambua mwenye akili na asiye na akili, kunahitaji kiwango fulani cha akili.
Kwa kipimo chochote kilichosahihi, Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi mbaya wa kiwango cha marehemu. Kwa namna alivyokuwa akitenda, hakustahili kuwa Rais. Mungu amsamehe kwa maovu mengi aliyoyatenda dhidi ya Taifa na dhidi ya watanzania wenzake.
Ni sawa na vingozi wa mataifa 150 Duniani. Kashinda vita vya corona leo watz tunazunguka bila mabarakoa ,ameishinda na kumtegemea Mungu ni wachawi na washilikina tu ndio hawawezi kumkuba mwanamagezi JPMNiteme kwa lipi? Hivi hujui viongozi 100 wa mataifa mbali mbali ni sawasawa na kichwa kimoja cha jpm?
mkui umetukana tusi kubwa lakini kimahesabu sana[emoji51][emoji51]asili ile ile ya kudanganywa na chips mayai na pipi....
Hakuna kitu kama hicho! Kenya imejaa wachina kama walivyojaa TZ. Plastiki gani unayoona ni nzuri? Ukajifunze nini Kenya kama siyo kupigwa fimbo na wachina. Kama ni unyonge wa wananchi kwa wazungu na wachina, hiyo sawa. Halafu usalama wa investment hizo utautoa wapi? Hii ni nchi bado ina wakimbizi wa ndani, IDPs. Ugomvi ulipoanza, Mkikuyu aliyekuwa na investment kwa Waluo akapoteza mali, ukabila. Mali pekee ambayo haikuguswa ni ile ya wazungu. What a shame!Wao wanachukua raw materials na viwanda wanavyo, sisi tunachukua kwao finished goods, Kama simu, vifaaa vya steshenari maana sisi hatutaki kutengeneza viwanda na wachache waliotengeneza viwanda wanataka wabaki wao tu Ili waendelee kuuza bila ushindani ila Mimi nasema twende kenya tukachangamke tulete viwanda kwetu Kama walivyonavyo wao na tuwe na finished goods zetu za made in Tanzania, tutengeze ajira na tumiliki makampuni, hebu tuone aibu jamani, ndo ya plastic ya kenya ni quality kuliko ya Tanzania, sufuria hivyo hivyo, sijui bati na utitili wa vitu kibao hata ream tu sasa nini tunataka ? Wakati jirani zetu wanajua vitu vizuri na tumeruhusiwa kwenda kujichanganya huko Ili tutengeneze vitu vipya na vingine tuboreshe, imagine nipo mbeya sasa hivi lakini nimetafuta mchele mzuri hakuna upo mchele chenga tu na ukitaka mzuri basi ununue wa india ule bismati na umejaa kweli huku mpaka nashangaa sasa akija mkenya kununua mchele wa mbeya na mashine nzuri za kupembua chenga na chuwa tunalaumu wakati ni akili zetu zimelala zikiwa zinawaza kuajiliwa bank na siyo kutumia malighafi zetu kumiliki viwanda.
mabeyo hiyo sio nafasi yake.Mama Samia anahitaji kusaidiwa, kuna namna flani anataka kuthibitisha kuwa anaweza bila kujali jinsia yake.... Yaani ni ile mnanichukulia poa kwa sababu ni mwanamke ngoja niwaonyeshe ! Tabu ni kwamba kwenye hizo harakati zake wajanja wanapenyezea agenda zao zinaenda
i hope kuna wa kumsaidia hata kama itakuwa ni nyuma ya pazia. Mabeyo ? I hope so.
Mwenye akili nyingi aliyeleta ndege zenye hasara ya 60 bil? Sasa hiyo ndio akili nyingi?Mambo mengi ya ajabu yatatokea baada ya kifo cha mtu mwenye akili nyingi jpm.
Kwa hiyo Mungu alivyo mpenda zaidi na yeye ni jizi?Kwendraaaa huko vyeti feki, majizi hamuwezi kumpenda jpm, ila alijuwa kuwanyoosha aisee
Happy new Year!Raia hohehahe, anapoongea utajua tu!