The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Wangekuwa na roho nzuri wasingekuwa wabinafsi na wabaguzi katika ajira za SMZ, kumiliki ardhi Zanzibar, kwenye sanaa na michezo kama mpira, nakadhalika.Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
Soma hapa chini.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1696535168243413088?s=19
Hata Jecha wa Tume alikuwa ni mzuri wa sura na roho? Je Salmin Komandoo?Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
Soma hapa chini.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1696535168243413088?s=19
Mama kakerekwa mwisho kaamua kutoa la moyoni.Na kweli ,na Bandari za watanganyika wameuza kwa waarabu wenzao wa Dubai.
dah . MzeeNdio shida ya kuyapa uongozi Mashangingi yaliyotakiwa kuimba taarabu. Tanganyika my motherland you messed up with a bunch of bitch
Hahahahahahahahaha hahahahahahah hahahahaha hahahahaNdio shida ya kuyapa uongozi Mashangingi yaliyotakiwa kuimba taarabu. Tanganyika my motherland you messed up with a bunch of bitch
Tumeni picha za wazanzibar hasa mabinti nione sura maana roho siwezi ona!Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
Soma hapa chini.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1696535168243413088?s=19
Ni kweli kabisa. Hapo alitaka kusema siyo kama wabara ila akaamua kupindisha ulimi.Tumetumiwa ujumbe bara
It is presidential statement yes, but rubbish (matope)Extremely unpresidential!
Wagalatia Wana chafu na wabara piaRais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.
Soma hapa chini.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1696535168243413088?s=19
Mtu Mzima haambiwi mara mbili.....Mama katika ubora wake, tumemsikia na tumemuelewa, sisi watu wazima ati!