Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

Soma hapa chini.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1696535168243413088?s=19

Huyu mtu huenda ndiye 'FaizaFox' wa humu JF!

Maajabu yaliyoje haya!

Kwa hiyo waTanganyika wote anaotafuta kuwanyang'anya mali wote ni watuwa roho mbaya? Mbona wangekuwa wamemtoa roho siku nyingi huyu?
Hana shukrani kabisa huyu.

Naomba nieleweke vizuri.
Ndiyo, Zanzibar kuna watu wazuri; lakini pia kuna mashetani kama hawa humo humo kama ilivyo sehemu nyingine zote. Wale waliokuwa wakimwagia watu tindikali ni watu wa wapi?

Huyu mwanamke anayo matatizo makubwa sana kuliko watu wanvyodhani.
 
Arudi zanzibar sisi watanganyika hatumtaki
Ningekuwa mbowe nguvu ningehamishia kwenye kuvunja muungano .mm sasa hivi sitakaa ninunue kitu kwa wazenji na nna mpangaji mmoja mzenji namvizia aishiwe nitwange notice.dpw wachukue bure na kilimanjaro ila wazenji warudi wakaoneshane roho nzuri kwao
 
Tumetumiwa ujumbe bara
Waliotaka kujua huyu mtu huko Zanzibar yupo kwenye kundi gani hasa, sasa jibu wamelipata vizuri kabisa.
Huyu yumo kwenye kundi la akina OMO na wengine wote wapiga kelele wakitaka kuvunja muungano.

Huyu amejaribu kila awezalo kuwaudhi watu ili walianzishe la kuvunja muungano, lakini watu wanamtazama tu kama hawasikii wala hawaoni lolote analofanya.
Hizi sasa ni 'frustrations' za kukosa mafanikio ya mbinu zake chafu.
 
Ningekuwa mbowe nguvu ningehamishia kwenye kuvunja muungano .mm sasa hivi sitakaa ninunue kitu kwa wazenji na nna mpangaji mmoja mzenji namvizia aishiwe nitwange notice.dpw wachukue bure na kilimanjaro ila wazenji warudi wakaoneshane roho nzuri kwao
Utakuwa umeingia kwenye mtego huo huo alioutegeshea yeye.

Huyu kilichobaki ni kumwondoshea mbali, na kuunda muungano mpya kabisa wenye usawa kila mahali.
Hakuna kuvunja muungano kwa sababu za watu wapuuzi kama hawa.
 
Wazenji ushasikia wanavotuongelea?? Ni kama sisi tunawatawala au wanaumuhimu zaidi.ili tuachane na hii biashara ni kuwarudishia nchi yao wafurahie uhuru wao .
 
Wazenji ushasikia wanavotuongelea?? Ni kama sisi tunawatawala au wanaumuhimu zaidi.ili tuachane na hii biashara ni kuwarudishia nchi yao wafurahie uhuru wao .
Kuna wanaouhitaji huu muungano kufa na kupona huko huko kwao. Unapomsikia huyu, ujue ni mmoja wa kale kakikundikanakosumbua kila mara. Hawa ni watu wachache sana huko kwao. Hawa ni kuwadhibiti tu na mambo yanaendelea kama kawaida.

Hiyo hali unayoizungumzia hapa inatokana na kiburi walichopewa na CCM. Kila wanapodai chochote, wanapewa kama rushwa ya kuwanyamazisha.
Sasa hata U-rais wenyewe wamepewa, lakini wameona haitoshi wanaanza kuropoka hovyo.
 
Heshima ni kitu cha bure, jiheshimu.
Mkuu 'Proved', sijui unamzungumzia nani katika haya uliyoandika hapa, kidogo inachanganya.

Ni nani hasa kakosa heshima, huyu uliyemjibu hapa, au yule anaye ambiwa maneno ambayo...eeeh, kweli siyo ya "heshima."

Binafsi nashindwa kutenganisha kati ya hao wawili. Ni kama wote wamekosa hiyo "heshima" unayotaka huyu wa pili awe nayo.
Labda ueleze mwenyewe kwa nini ni huyu huyu anayestahili hayo maneno uliyoandika hapo.
Au kwa vile yule mwingine anacho cheo kikubwa ndani ya jamii. Si huyo ndiye angedaiwa kuwa na heshima zaidi, au wewe unaonaje, mkuu 'Proved'.
 
Back
Top Bottom