Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Muungano wa kipuuzi kila nchi iishi kivyakeUtakuwa umeingia kwenye mtego huo huo alioutegeshea yeye.
Huyu kilichobaki ni kumwondoshea mbali, na kuunda muungano mpya kabisa wenye usawa kila mahali.
Hakuna kuvunja muungano kwa sababu za watu wapuuzi kama hawa.