Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

Tumeni picha za wazanzibar hasa mabinti nione sura maana roho siwezi ona!
Kwani yeye ana sura gani ya kututishia maisha hapa? Kama kuna mtu amedanganywa eti ana sura atakuwa amempotosha sana!
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Wawape bandari za Zanzibar wajomba zao sasa
 
Kamsikilize, clip ipo. Usingoje kila kitu kufanyiwa na usiamini kila kitu cha mtandaoni.
Ningependa kuisikiliza, au kuisoma “vebartim”

Nataka nione jinsi alivyosema hayo mataifa mawili ya Tanzania na Zanzibar yalivyo na wananchi wenye sura nzuri na roho nzuri.
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Kama yulevagande wa zenji
 
Ni kweli kabisa. Hapo alitaka kusema siyo kama wabara ila akaamua kupindisha ulimi.

Lakini ukweli lazima usemwe. Ukilinganisha bara na visiwani, watu wa bara wako na roho mbaya sana na ni wanafiki mno
Wenye akili timamu tumemuelewa hivyo. Ni hulka ya Wazanzibari kuwatweza Watanganyika wanatuota machogo
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Kwa hiyo watanganyika ndio wana sura mbaya na roho mbaya ndio maana ameamua kuuza bandari za Tanganyika?
 
Upuuzi tu, haya tumemuelewa alichomaanisha sie watu wazima
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Watanganyika kazi tunayo awamu hii.
 
Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine.

“Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
Natamani tupate wazanzibari kwenye BRELA na Wizara ya ardhi, hili eneo kuna rushwa kiwango cha lami.
 
Ni kweli kabisa. Hapo alitaka kusema siyo kama wabara ila akaamua kupindisha ulimi.

Lakini ukweli lazima usemwe. Ukilinganisha bara na visiwani, watu wa bara wako na roho mbaya sana na ni wanafiki mno
Nimeishi Zanzibar miaka 10 hakuna watu wanafiki kama wazazibar, kwanza ni wafitinishaji, majungu, wabaguzi na ni watu wa shirki hatar.
 
Nilifungua mgahawa panga maua, nilivyo na ndevu walijua ni sheikh, walipogundia ni muumini wa dini nyingine nilipoteza wateja Kila kukicha nikafunga..uzuri nilirudishwa bara kikazi nikarudi na maisha yangu japo nilipoteza pesa mingi
Watu wanafunguwa mpaka mahoteli ya million 4 kwa kulala usiku mmoja wewe unakwenda kuwekeza ushuzi wako, tena kama mimi ningekutimuwa haraka sana. Mchafuzi wa mazingira tu.

Wamekuwa wema sana kukususia kimya kimya. Kafunguwe kwenu huko kolomije.
 
Ni aibu sana Rais wa nchi kutamka maneno ya kibaguzi namna hii anapaswa kuomba radhi.
 
Back
Top Bottom