Mimi niliwahi kufanya kazi huko jumla miaka minane na utafiti wangu wa PhD nilifanyia huko ukweli ni kwamba sikuwahi kumuona mwanamke yoyote mzuri zaidi niliona watu wenye roho mbaya tu.Wanawake miguu mibaya , maziwa makubwa, shepu mbaya kweli. Kuna jamaa mmoja niliidhinisha mkopo unaoendana na mshahara wake wakati yeye alikuwa akitaka mkopo mkubwa zaidi mimi nilikataa. Basi ilikuwa nongwa, alinifanyia visasi hadi kutaka mimi nitiwe ndani. Mkataba wangu ulipomalizika sikutaka tena ku renew nikarudi TG kwetu.