Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Waziri halazimiki kutii kila kitu endapo anaona kuna vitu haviko sawa, alipokosea ni kuendelea kubakia madarakani, alipaswa kujiuzulu baada kuona hakuna muafaka. Kusubiri kuondolewa ni kama kuonesha kiburi.Ni kweli
Wazungu wanaita Collective Responsibility
SahihiWaziri halazimiki kutii kila kitu endapo anaona kuna vitu haviko sawa, alipokosea ni kuendelea kubakia madarakani, alipaswa kujiuzulu baada kuona hakuna muafaka. Kusubiri kuondolewa ni kama kuonesha kiburi
Ndio maana Mwigulu hataondolewa anasimamia walichokubalianaRais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya serikali. Au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi.
Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya serikali sio yangu?
Unajuaje kama hajajiuzulu?Waziri halazimiki kutii kila kitu endapo anaona kuna vitu haviko sawa, alipokosea ni kuendelea kubakia madarakani, alipaswa kujiuzulu baada kuona hakuna muafaka. Kusubiri kuondolewa ni kama kuonesha kiburi
Hakuna alipotamka wala hakuna barua wala Rais hajasema kapokea ombi hilo. So it is what it isUnajuaje kama hajajiuzulu?
Siyo kila mtu ni Mwanasiasa mpiga filimbi wa HamelinHakuna alipotamka wala hakuna barua wala Rais hajasema kapokea ombi hilo. So it is what it is
Labda yule aliyetumbuliwa.Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya serikali sio yangu?
Ehh naona ungeunge bwashehhSiyo kila mtu ni Mwanasiasa mpiga filimbi wa Hamelin
Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi.
Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
Unajuaje aliomba kujiuzulu mwenyewe?Waziri halazimiki kutii kila kitu endapo anaona kuna vitu haviko sawa, alipokosea ni kuendelea kubakia madarakani, alipaswa kujiuzulu baada kuona hakuna muafaka. Kusubiri kuondolewa ni kama kuonesha kiburi.
Unataka raisi maamuzi yake yasiheshimiwe?Naona exposure inawaponza wasaidizi wa Rais, Rais anataka kila mteule wake afanye vile anavyotaka yeye hata kama hana ujuzi wa jambo husika.
Kuwa na wasaidizi maana yake ni kumsaidia Rais, sio tu kufanya kazi wanazopangiwa, bali hata kwa ushauri pia, hii kauli aliyoitoa Rais itazidi kuzalisha chawa wengi zaidi.
Hatogombea, usiumize KICHWA.Huyu mama akilazimisha kubakia madarakani hiyo 2025, basi mchele utauzwa elfu 6 kwa kilo! Na mafuta ya petrol na dizeli lita itakuwa elfu 6 pia! Vifaa vya ujenzi ndiyo kabisaa!! Vitaendelea kupanda mara dufu.
Nitafurahi kama atakaa pembeni.