Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

Wambie UKWELI makada wenzio, kwenye comment zingine unasema she is one term!!!!
Nasema hivi mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ndiye Rais Hadi 2030, watanzania tumeridhishwa na utendaji kazi wake uliotukuka na uliogusa maisha yetu watanzania kwa kutupatia matumaini mengi ya kuinuka kiuchumi, kazi yetu Ni Kuendelea kumuombea mh Rais wetu mpendwa ili mwenyezi Mungu amjalie Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania
 
Naona exposure inawaponza wasaidizi wa Rais, Rais anataka kila mteule wake afanye vile anavyotaka yeye hata kama hana ujuzi wa jambo husika, hii sio sawa, anakosea.

Mulamula alikuwa na exposure na mambo ya nje toka enzi za JK, na hiyo exposure yake naamini ndio iliyochangia Rais kumpa kile cheo, leo iweje amuondoe yule aliyegoma kuburuzwa kwenye jambo alilo na experience nalo? lililofanya akaaminiwa na kupewa kazi? Rais hajui anachofanya.

Kuwa na wasaidizi maana yake ni kumsaidia Rais, na sio tu kufanya kazi wanazopangiwa, bali hata kwa ushauri pia, hii kauli aliyoitoa Rais itazidi kuzalisha chawa wengi zaidi, wajinga, jeuri, na viburi.

Matokeo yake kina Mwigulu wanazidi kutuburuza na tozo, huku Makamba na Nape nao na kauli zao za hovyo; yeye anataka jambo lolote wakishakaa na kukubaliana lisipingwe, hata kama litakuwa linawaumiza wananchi.

Awaache wenye uzoefu wamsaidie, unaweza kuwa na kundi kubwa la wajinga wasiojua chochote kasoro mmoja wao, na kiongozi mzuri anatakiwa kumtambua huyo mmoja.
Hakika umesema kweli
 
Hata Chalamila aliomba kujiuzulu wakamkatalia akaanza vituko maksud kulazimisha kutemwa kipindi kile aliamishiwa mwanza hatimaye wakaamua tu aende. Lakini wamemrudisha.
Nchi hii ina safari ndefu sana.

Mabosi hawajiamini na wewe ukionyesha kujiamini mbele yao, inakuwa ni kiburi na kuvuka mipaka.

Aliye juu yako amefika hapo juu kwa kuchekacheka na kujipendekeza asingetegemea wewe uwe tofauti. Yeye hakuwahi kujiuzulu hata yalipoamuliwa mambo yasiyompendeza, alikomaa ili aendelee kupata ugali na kuheshimika, halafu eti wewe ujiuzulu kuonesha msimamo wako? Utafutwa kwenye siasa na utapotea kabisa😂

Wanapenda isomeke na ionekane kwamba ulifukuzwa kazi.
 
Huyu mama akilazimisha kubakia madarakani hiyo 2025, basi mchele utauzwa elfu 6 kwa kilo! Na mafuta ya petrol na dizeli lita itakuwa elfu 6 pia! Vifaa vya ujenzi ndiyo kabisaa!! Vitaendelea kupanda mara dufu.

Nitafurahi kama atakaa pembeni.
Hawez kubak pale

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Bado nashindwa kuwaelewa wabongo, mama ndo tumaini letu waTanzania. amini
 
Huyu mama akilazimisha kubakia madarakani hiyo 2025, basi mchele utauzwa elfu 6 kwa kilo! Na mafuta ya petrol na dizeli lita itakuwa elfu 6 pia! Vifaa vya ujenzi ndiyo kabisaa!! Vitaendelea kupanda mara dufu.

Nitafurahi kama atakaa pembeni.
Tulia wewe. Tuna imani na mama hadi 2035 apige 10 zake za kikatiba hizi 5 anazomalizia za jpm hatuzihesabu
 
Nasema hivi mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ndiye Rais Hadi 2030, watanzania tumeridhishwa na utendaji kazi wake uliotukuka na uliogusa maisha yetu watanzania kwa kutupatia matumaini mengi ya kuinuka kiuchumi, kazi yetu Ni Kuendelea kumuombea mh Rais wetu mpendwa ili mwenyezi Mungu amjalie Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania
Huyu anaishia 2025 anarudi kwao visiwani.
 
Tulia wewe. Tuna imani na mama hadi 2035 apige 10 zake za kikatiba hizi 5 anazomalizia za jpm hatuzihesabu
Mna stahili kabisa kuwa na imani naye!
Maana kwa huu mfumuko wa bei na hii mitozo yenu isiyo na kichwa wala miguu! Aisee Mwenyezi Mungu anijalie tu uzima ili nishuhudie huo uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
 
Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi.

Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?

mrema alifukuzwa kazi kwa kujitenga na maamuzi ya baraza la mawaziri

Lakini pia wapo mawaziri wanataka kuchukua faida ya kisiasa kwa maamuzi ambayo yalikuwa ni ya pamoja hilo ni kosa pia
 
Naona exposure inawaponza wasaidizi wa Rais, Rais anataka kila mteule wake afanye vile anavyotaka yeye hata kama hana ujuzi wa jambo husika, hii sio sawa, anakosea.

Mulamula alikuwa na exposure na mambo ya nje toka enzi za JK, na hiyo exposure yake naamini ndio iliyochangia Rais kumpa kile cheo, leo iweje amuondoe yule aliyegoma kuburuzwa kwenye jambo alilo na experience nalo? lililofanya akaaminiwa na kupewa kazi? Rais hajui anachofanya.

Kuwa na wasaidizi maana yake ni kumsaidia Rais, na sio tu kufanya kazi wanazopangiwa, bali hata kwa ushauri pia, hii kauli aliyoitoa Rais itazidi kuzalisha chawa wengi zaidi, wajinga, majeuri, na viburi.

Matokeo yake kina Mwigulu wanazidi kutuburuza na tozo, huku Makamba na Nape na kauli zao za hovyo kila wakati; yeye anataka jambo lolote wakishakaa na kukubaliana serikalini lisipingwe, vyema atambue hata wajinga huwa wana maamuzi yao yasipoangaliwa mapema yatatuumiza.

Awaache wenye uzoefu wamsaidie, unaweza kuwa na kundi kubwa la wajinga wasiojua chochote kasoro mmoja wao, na kiongozi mzuri anatakiwa kumtambua huyo mmoja.
Rais ni taasisi,hasa na idara za usalama wa taifa,kwamba kote huko hakuna mwenye uzoefu na exposure kumzidi mulamula!!!..ushauri si sharti ukubaliwe,na Waziri hapaswi kuwa kinyume na baraza la mawaziri hadharani
 
Ndio maana Mwigulu hataondolewa anasimamia walichokubaliana

Mwigulu simply ni mwizi …anajua mwenyewe alikokamatia …lakini itambidi mama aje tu afanye maamuzi maguumu …anamkumbatia mtu atakayemgharimu

Kabla ya hili suala la mama mulamula au tuite dharura ,….fununu kwenye corridors ilikuwa Mwigulu anaondoka fedha kwenda Tawala za Mikoa ….halafu Inno anatoswa ….nadhani huko tawala za mikoa ndio angepiga kampeni hadi watu wakome
 
Mna stahili kabisa kuwa na imani naye!
Maana kwa huu mfumuko wa bei na hii mitozo yenu isiyo na kichwa wala miguu! Aisee Mwenyezi Mungu anijalie tu uzima ili nishuhudie huo uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Mfumuko wa Bei ni global...tozo lipa tu,tunahitaji madarasa,elimu bure,jnhep,sgr,kuajiri,barabara,ruzuku kilimo...huko ndiyo kunaitwa kujenga nchi,huwezi kung'oa vyuma darajani Kama unajua lilijengwa kwa tozo
 
Mwigulu simply ni mwizi …anajua mwenyewe alikokamatia …lakini itambidi mama aje tu afanye maamuzi maguumu …anamkumbatia mtu atakayemgharimu

Kabla ya hili suala la mama mulamula au tuite dharura ,….fununu kwenye corridors ilikuwa Mwigulu anaondoka fedha kwenda Tawala za Mikoa ….halafu Inno anatoswa ….nadhani huko tawala za mikoa ndio angepiga kampeni hadi watu wakome
Thibitisha mwigulu ni mwizi...hatuwezi wote kula keki ya taifa kwa usawa...vumilia tu,chuki huulawiti moyo wa anayeihifadhi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kairuki ndani!

Sukuma gang inazidi kutamba!

Mama anachuki na Mulamula

Mulamula alikuwa inner circle minister wa Samia …ni kati ya mawaziri wachache ambao alikuwa ana uwezo hadi wa kukaa chumbani kwa rais kupiga story …alimuamini sana …….lazima kutakuwa na kosa limemtokea likafuatiwa na fitna kubwa sana ….hasa kwakua alikuwa anakwaruzana na watu wa mfumo kwa kuonekana ana upendeleo ….
Alipoingia wizarani ndani ya mwezi alishampa mdogo wake Ubalozi [ Edwin Rutageruka] ..bahati mbaya akafariki katika hali ambayo haijulikani ….
 
Mna stahili kabisa kuwa na imani naye!
Maana kwa huu mfumuko wa bei na hii mitozo yenu isiyo na kichwa wala miguu! Aisee Mwenyezi Mungu anijalie tu uzima ili nishuhudie huo uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Kwani ameacha kuiponya nchi?
 
Back
Top Bottom