greenwoods JF-Expert Member Joined Sep 21, 2020 Posts 2,328 Reaction score 3,955 Oct 12, 2022 #121 Mbona nayeye anajifanya kama hakuwa pamoja na magufuli enzi za uhai wake
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Oct 12, 2022 #122 denooJ said: We" ni panya, hauna uwezo wa argument unajitutumua tu, bahati nzuri kwako hata wajinga wa sampuli yako huwa na confidence. Click to expand... Siyo Hauna ni huna...mjinga usiyeijua hata lugha yako
denooJ said: We" ni panya, hauna uwezo wa argument unajitutumua tu, bahati nzuri kwako hata wajinga wa sampuli yako huwa na confidence. Click to expand... Siyo Hauna ni huna...mjinga usiyeijua hata lugha yako
A Ame JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 6,468 Reaction score 5,626 Oct 12, 2022 #123 denooJ said: Sasa itakuwaje huko kwenye vikao wazo la mjinga ndio likapewa umuhimu, fungueni bongo zenu, mimi nitakupinga hata nje, siwezi kukubaliana na wazo la mjinga kisa nipo nje wakati najua wazo sio sahihi. Click to expand... Unajihuzulu unawaachia wanaodhani inafaa ili uondokane na hizo lawama
denooJ said: Sasa itakuwaje huko kwenye vikao wazo la mjinga ndio likapewa umuhimu, fungueni bongo zenu, mimi nitakupinga hata nje, siwezi kukubaliana na wazo la mjinga kisa nipo nje wakati najua wazo sio sahihi. Click to expand... Unajihuzulu unawaachia wanaodhani inafaa ili uondokane na hizo lawama