Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

Mbona nayeye anajifanya kama hakuwa pamoja na magufuli enzi za uhai wake
 
Sasa itakuwaje huko kwenye vikao wazo la mjinga ndio likapewa umuhimu, fungueni bongo zenu, mimi nitakupinga hata nje, siwezi kukubaliana na wazo la mjinga kisa nipo nje wakati najua wazo sio sahihi.
Unajihuzulu unawaachia wanaodhani inafaa ili uondokane na hizo lawama
 
Back
Top Bottom