Rais Samia: Waziri Mchengerwa amefanya kazi nzuri sana, sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi

Wapi Nape?😂😂😂😂 Mungu amemsuluhisha? Mbaya ameondoka amekuja mzuri?😂😂😂😂😂
 
Undugunaizesheni
 
Mchengerwa kama una soma huu uzi tambua halmashauri ni vichaka vya wezi hasa waweka hazina ni wezi wezi na kibaya sana wanawekewa target ya mapato inamaana yakizidi lazima waibe tu. Na kibaya hakuna scientific way ya ku prove upatikanaji wa mapato. Suluhisho-hakikisha kila halmashauri inakuwa na mpango mkakati wa ukusanyaji wa mapato wa miaka 5.
 
Mnyonge mnyongeni kazi ya mtu haijifichi Mchengerwa safi.
Alifanya kazi nzuri utumishi
 
Hongera sana Mh: waziri Mchengerwa hakikisha uchaguzi wa S/mtaa na vijiji 2024 wagombea wa chama changu CCM wanapita bila kupingwa
 
Ndoa za kitabaka ni kawaida kwa watawala

Dikteta Rais Omar Bongo wa Gabon alimuoa Edith Lucie Sassou-Nguesso, binti wa Dikteta Rais Denis Sassou-Nguesso, wa Jamahuri ya Congo. Na matokeo yake leo yanaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…