Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

Kwa akili yako kodi za nchi hii zinalipwa na watu gani? Machinga na mama nitilie? Bodaboda? Au wakulima huko vijijini?
Unajua makampuni kama TBL, Vidacom, Metl, Azam wanalipa kodi kiasi gani?
Wadanganye hao hao hayo makontainer yanayopita free hapo border ni Siri?

Wanaofill mafuta for free watajuaje ugumu wa maisha?

They are turning nw, keep watchin.
 
Wadanganye hao hao hayo makontainer yanayopita free hapo border ni Siri?

Wanaofill mafuta for free watajuaje ugumu wa maisha?

They are turning nw, keep watchin.
Hebu wataje sasa mbona unaogopa sasa
 
Hii nchi ni kubwa, bila misaada (bakuli) na kuita wawekezaji waje aisee hatutoboi huo ndiyo ukweli, tunatumia zaidi ya tunachozalisha.
Ili uendelee kwanza inatakiwa ubadilike kisaikolojia!
 
Na ndio tutazidi kuwa maskini. Tusipoenda ni vilevile na tukienda ni vilevile.
Hata mama Samia asiposafiri bado sioni Kama itasaidia chochote. Cha umuhimu akienda aache tu kutoa ahadi za kuwapa rasilimali
Ilifika kipindi katika nchi hii alisafiri mpk kufikia hatua analipa mishahara ya wafanyakazi kwa pesa za mkopo!

Sema kujenga kazi
 
Ww jamaa bana ndio maana nikasema hujui unachozungumza, lini imefika 10%??

Alafu comparison ni percent kwenye gdp, na sio amount.
 
Ila Tanzania kuna wajinga wengi kama wewe. Bado tunaushamba wa wazungu na Waarabu. Mizimu ya babu wapinga ukoloni msitutupe mkono mtusaidia hata kuwatia uchizi wq kuokota makopo hawa wasaliti wetu
 
Unahitaji fedha kujenga miundo mbinu,project Kama sgr na mnhp haziwezi kuwa financed na Pato la ndani,hizo pesa zipo nje,rais akikaa ndani inasaidia nini!?...yule jamaa yenu aliyekaa ndani alishusha FDI Hadi chini ya 1b$..Sasa FDI ipo $9b
Uzuri au ubaya hiyo miradi ilianza chini huyo alieshusha na tuliona ikitekelezwa kwa kasi kuliko sasa.

Africa atuna uchungu na nchi zetu, hatutaman maendeleo ya kweli ha nchi zetu kwa vizazi vya kesho, si tunajua leo nilipe vizuri ili kesho niende Dubai kwenye maendeleo ya vitu nikatanue kwenye vitu vyao, ila hamuwazi vile vitu walivioataje! Fungeni mikanda mjemge nchi zenu.
 
Naogopa sana kutumia kauli hii ifuatayo nisije onekana nawatusi wakubwa wangu...
Mtu mjinga au mpumbavu (an ignorant or a fool person) hujiamini sana kwa anachofanya japo kinaweza kuwa ni maangamizo na kitu hatari kwake na kwa wanao mtegemea.
 
Wewe unaenlaumu Samia wewe mchango wako ni upi kuhakikisha nchi inajitegemea kwenye mapato hasa ya kufanya miradi mikubwa? Kulalamikia kodi na tozo?
Kodi katika kila ninachofanya na kutumia, tozo, kununua haki zangu za kiraia n.k

Bei ya mafuta imepandishwa kuliko ile waliyoigomea, wazurulaji wanasikizia tu watu wapige kelele ili waje na 100b nyingine, wawe wanaLAMBA 200b monthy kihalali.

Waambie wakupe ukweli, wanaenda kuchukua 100 kwa makubaliano kuwa wadanganyika watalipa huku wakiweka rehani pande la nchi, wao wanajipongeza kwa sh 73 kwa kufanikisha deal, 15 inawekaa pembeni kusaidia wakati wa uchaguzi, 10 inakwenda ZNz, iliyobaki inaingizwa kwenye nyongeza ya miashara.
 
We ufala tu ndio unakutesa
 
Ila Tanzania kuna wajinga wengi kama wewe. Bado tunaushamba wa wazungu na Waarabu. Mizimu ya babu wapinga ukoloni msitutupe mkono mtusaidia hata kuwatia uchizi wq kuokota makopo hawa wasaliti wetu
Toka hoja za kumpinga mchangiaji kwa facts sio Luanda kuita mizimu isiyokuwepo! Au ndio unathibitisha kuwa nyie timu Chato mmeishiwa hoja mpo mufilisi?
 
lakini ulishaanza na umekamilika kwa asilimia kubwa sana kama sioa silimia 90... maana mpaka wanafanya testing. hata ndugai alikuwa anajua hali halisi ya miradi kuwa haiitaji kukopa kopa kila siku
Kumbuka alichokopea maguu ni dar as salama hadi makutupora mama anaendeleza mpaka mwanza na isaka umbali mrefu aliyeondoka kafanya yake na hawezi kurudi mama anafanya yake yote tumshukuru Mungu mama hawezi kuongoza kama mwenda zake yeye ataongoza kama yeye na wataalamu wake pia marehemu afya ilikuwa haimrusu kupanda ndege jamani mkumbuke siyo kuwa hakutaka safari ndiyo maana za majirani aliyenda kwa gari
 
Ww jamaa bana ndio maana nikasema hujui unachozungumza, lini imefika 10%??

Alafu comparison ni percent kwenye gdp, na sio amount.
Tanzania inaonyesha mchango wa madini kwenye uchumi wake ni mdogo sababu uchumi wake ni mkubwa zaidi na unachangiwa na vitu vingi, sijui kama unaelewa hii mantiki

Na contribution ya madini ni 10.2%

 
Bull crap
 
Kulipa kodi stahiki na kwa wakati ni mchango mkubwa kutoka kwa kila mwananchi.

Tatizo la nchi hii sio vyanzo vya pesa bali ni wizi wa pesa na matumizi makubwa yasiyo na tija kwa watendaji wa serikali.

Na huo uzirulaji wa Samia ni mojawapo ya mifano.

Tunasubiri na wakati wa kampeni akazurule kuomba kura huko huko nje.

Acheni kutetea unafiki.
 
Tanzania inaonyesha mchango wa madini kwenye uchumi wake ni mdogo sababu uchumi wake ni mkubwa zaidi na unachangiwa na vitu vingi, sijui kama unaelewa hii mantiki

Na contribution ya madini ni 10.2%

View attachment 2282205
Sio kila taarifa ya kwenye Google unapaswa kuibeba.
Waziri kwenye uwasilishaji wa bajeti alizungumza ni 7.3
Lakini pia hata kwenye taarifa zingine ni hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…