Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida
''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna maendeleo, nikienda nje nakwenda kutafuta fedha za maendeleo.''
Swali akili za kawaida ndio zipi?
USSR
Huko anakoenda marais wao huwa wanasafiri ziara wapi mpaka wakapata hayo maendeleo?
Huyu mama anasema anakwenda kutuombea fedha nje akinyimwa ni nini kitatokea? Hizo fedha anskwenda kuomba na kupewa bure?Yeye ndio baba ndio mama asipotoka tutakula nini? Ila kama anaenda kuchuma mali mbona anatujazia makato?
bibi la mchongo.Unakwenda nje kutafuta fedha za maendeleo wakati umeacha madini na utajiri unasombwa na majizi?
Hili Bibi vipi asee?
Mipesa ya bure. Unajichotea tu.Huko nje ndio kuna ' mipesa'...
Watanzania bado wajinga sana hawana elimu yoyote ya maana kuna wasomi wasioelimika wengi tu tena wapuuzi haswa na hawajui hata wanafanya nini.Akili za kawaida Ni wale ambao hawajasoma na hawana elimu juu ya masuala ya fedha na uchumi hio kwa mtazamo wangu tu but hapa huyu mmama katudharau sana hajui karibu watanzania wote wameelimika sahv na hao ndio wapiga kura wake
Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida
''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna maendeleo, nikienda nje nakwenda kutafuta fedha za maendeleo.''
Swali akili za kawaida ndio zipi?
USSR
Kama ya kwako
Chifu kama chifu lakini kama ameanza kujitetea hivi maana yake ujumbe wa hao wenye akili ndogo umefika, naamini ana wasaidizi wengi ambao wanaweza kumsaidia siyo kila mahali yeye tu, wakati wenye akili ndogo wanakamuliwa kila siku na gharama za maisha.Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida
''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna maendeleo, nikienda nje nakwenda kutafuta fedha za maendeleo.''
Swali akili za kawaida ndio zipi?
USSR
Kuna tofauti gani Kati ya pesa ya mwarabu na mkoloni mzungu!?..tycs,viwawa na vigangoni huwa mnafundishana vitu vya kijinga sanaWacha mama asafiri akalete mpunga, lakini safari za kwenda Uarabuni kukazia uuzwaji wa Loliondo kwa kampuni ya mwarabu ya OBC hatutaki
Hizo safari zimesaidiaje kushusha gharama za maisha?Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaid...
Naona sa100 ndio ana akili za kawaida.Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida...