Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendeleo ya nchi yanasonga mbele.
Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa kesi za kughushi ili konea mtu na kupora mali zake.
Masalia ya Awamu ya 5 yapo. Miluzi ni mingi na kelele za milango toka kwa wafaidika Awamu ya 5 ni mingi.
Hili la Ndugai kumlaumu mama ni kielelezo cha mtu aliyeshiba, hagusiki, na kiujumla ana akili ndogo.
Miluzi ya watu kama Ndugai, Polepole na wengine, isimrudishe nyuma mama Samia.
Ndani ya miaka 5, hao watu watakuwa historia.