Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Naunga mkono hojaMama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendekeo ya nchi yanasonga mbele.
Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa kesi za kughushi ili konea mtu na kupora mali zake.
Masalia ya Awamu ya 5 yapo. Miluzi ni mingi na keleke za milango toka kwa wafsidika Awamu ya 5 ni mingi.
Hili la Ndugai kumlaumu mama ni kiekekezo cha mtu aliyeshiba, hagudiki, na kiujumla ana akili ndogo.
Miluzi ya watu kama Ndugai, Polepole na wengine, isimrudishe nyuma mama Samia.
Ndani ya miaka 5, hso watu watakuwa historia.
Huyu mama anacheza na balancung act.Kaweka utu wa mtanzania mbele wakati Mbowe yupo gerezani kwa kesi isiyoeleweka na wale mashahidi wa jamhuri wa kuchonga?
Mnasifia hovyo mpaka mmekuwa vipofu.
Kaweka utu wa mtanzania mbele wakati Mbowe yupo gerezani kwa kesi isiyoeleweka na wale mashahidi wa jamhuri wa kuchonga?
Mnasifia hovyo mpaka mmekuwa vipofu.
Matatizo ya mama mawili tu, mgao mkubwa wa fedha Zenji mfano za uviko, na kesi isioeleweka ya Mbowe, mengine anaenda vizuri!Kaweka utu wa mtanzania mbele wakati Mbowe yupo gerezani kwa kesi isiyoeleweka na wale mashahidi wa jamhuri wa kuchonga?
Mnasifia hovyo mpaka mmekuwa vipofu.
Mtu kama Polepole ni looser,kumuweka akilini ni kwamba ubongo wako umekosa kitu cha maana cha kuhifadhi.Mama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendeleo ya nchi yanasonga mbele.
Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa kesi za kughushi ili konea mtu na kupora mali zake.
Masalia ya Awamu ya 5 yapo. Miluzi ni mingi na kelele za milango toka kwa wafaidika Awamu ya 5 ni mingi.
Hili la Ndugai kumlaumu mama ni kielelezo cha mtu aliyeshiba, hagusiki, na kiujumla ana akili ndogo.
Miluzi ya watu kama Ndugai, Polepole na wengine, isimrudishe nyuma mama Samia.
Ndani ya miaka 5, hao watu watakuwa historia.
Kwani mama sio masalia ya awamu ya tano!!??Mama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendeleo ya nchi yanasonga mbele.
Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa kesi za kughushi ili konea mtu na kupora mali zake.
Masalia ya Awamu ya 5 yapo. Miluzi ni mingi na kelele za milango toka kwa wafaidika Awamu ya 5 ni mingi.
Hili la Ndugai kumlaumu mama ni kielelezo cha mtu aliyeshiba, hagusiki, na kiujumla ana akili ndogo.
Miluzi ya watu kama Ndugai, Polepole na wengine, isimrudishe nyuma mama Samia.
Ndani ya miaka 5, hao watu watakuwa historia.
Yeye Samia ni mfuasi wa nani?Huyu mama anacheza na balancung act.
Anajua fika kesi ya Mbowe ni ya kubambikwa na wafyasi wa Magufuli, na hili liko wazi.
Kina Sirro mpaka leo wanajikanyaga kanyaga.
Wajinga ninyi, mlitegemea mama Samia aendelee kubambika watu kesi za uhujumu?Kwani mama sio masalia ya awamu ya tano!!??
huyo si alikuwa makamu......
watu wengine wanajikomba mpaka kinyaa
ona aibu.......
Cheki huyu jamaa mjinga mjinga......Wajinga ninyi, mlitegemea mama Samia aendelee kubambika watu kesi za uhujumu?
Kwa vile alikuwepo.
Au mlitegemea wasiojulikana wa kina Polepole wawafix watu?
Zama zenu zimepita.