Rais Samia wewe fanya kazi, usiwasikilize wanasiasa kama Ndugai

Cheki huyu jamaa mjinga mjinga......
Mbowe kapewa kesi na baba yako?!
Du...ninyi mliokuwa wasiojulikana sasa mna tweta baada ya kukosa hela ya dhuluma.
Hata mtu mpumbavu anajua kuwa kesi ya kughushi ya Mbowe mumeiunda na mwendazake akiwa madarakani.
Siro kinara wenu anashindwa kujibu kwa sasa hivi.
Dhuluma imewashinda mkalime sasa.
 
Kaweka utu wa mtanzania mbele wakati Mbowe yupo gerezani kwa kesi isiyoeleweka na wale mashahidi wa jamhuri wa kuchonga?

Mnasifia hovyo mpaka mmekuwa vipofu.
Hawa kipindi cha mwendazake walikuwa wanasema hapa kazi tu. Wapinzani wakiongea ukweli wanasema wametumwa na mabeberu!. Mwendazake mara kwa mara alikuwa akisema anajenga nchi kwa fedha za ndani na hategemei mikopo na misaada ya mabeberu, wanapiga makofi na kufurahia. Leo hii dhana imebadilika kabisaa wanaisifia mikopo ambayo waliiponda kipindi cha JPM, jamaa naona wanaiponda mitikasi ya mwendazake. Safari za nje za mama wanasema mama anaimarisha diplomasia ila kipindi cha JPM alisema hatosafiri wakashangilia kabisa na kusema safari za nje ni gharama kwa nchi.. Shida ni unafiki na maslai yao. Wamekuwa kama bendera.
 
kazi ya bunge ni kuhoji.sasa sijui kosa la spika unavyo mtuhumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…