PostGE2025 Rais Samia: Yaliyotokea yametutia DOA tuna kazi ya kutafuta fedha wenyewe

PostGE2025 Rais Samia: Yaliyotokea yametutia DOA tuna kazi ya kutafuta fedha wenyewe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha za ndani ili kutekeleza miradi.

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri wateule, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 18 Novemba, 2025.
 
Hahaha!

20251117_152800.jpg

InaumaSana/ItHasAForkVery
 
Mbwa wewe na mpumbavu sana, utoke hapo, huwezi kuwa rais wa nchi hii. Mpumbavu wewe, na mjinga sana wewe na wenzako hao.
 
Nchi hii ni tajiri sana hatutegemei misaada ya kipuuzi
Mbona sasa hamuachi kupitisha Bakuli na kuomba mikopo nje ya nchi?

UKIACHA VYANZO VYENGINENE VYA MAPATO, UTALII NDIO MOJA YA CHANZO KIKUU CHA MAPATO NCHINI AFGHANISTANI, LAKINI KWA YANAYOENDELEA TRUST ME! WATALII HAWATOWEZA TENA KUKANYAGA NCHIN.

InaumaSana/ItHasAForkVery
 
Kutafuta pesa wenyewe kina nani na wapi wakati ni sisi ndio tunalipa Kodi ? Badala ya kuongelea kutafuta pesa semeni mpunguze ufujaji anzeni na mishahara yenu na hayo magari ya kifahari...; Badala ya kuwaza ndugu zetu tuliowapoteza hence nguvu kazi na kukosa watanzania wenzetu tunawaza bakuli letu tutalitembeza wapi !!!

Eti kutafuta pesa wenyewe ?!!!!
 
Back
Top Bottom