Hivi unajua kila unachotumia na kununua kinakatwa Kodi ? Hakuna Mtanzania ambae halipi kodiKuikosesha Serikali mapato ni simple Toeni hela bank
I know it...Hivi unajua kila unachotumia na kununua kinakatwa Kodi ? Hakuna Mtanzania ambae halipi kodi
Kuna Notion kwamba Watu hawalipi Kodi, na bila kuongeza vyanzo kwa kuwakamua zaidi Nchi haiwezi kuendelea...
Kwanza kabisa sio kweli kwamba watu hawalipi Kodi; kila mtu analipa Kodi indirectly na kutokana na vyanzo vyetu na Tozo tunaweza kuendesha nchi hata bila Kodi ya Mapato; Nikitoa Scenario moja tu ya Makusanyo ambayo mtu analimwa; Kila ukitoa Pesa kwenye Simu, Serikali Inakula, Wakala akipata faida yake Serikali inakula; Kampuni kwenye faida yake Serikali inakula..., na kwa kula kwote huku hakuna value for money inayopatikana..., Kila halmashauri kuna makusanyo yanafanyika ya...
- Logikos
- kabla kodi mapato
- Replies: 4
- Forum: Jukwaa la Siasa
Watoe hela banksahivi wanachuo wameambiwa ili usajioiwe inakubidi ulipie ada nusu aiseee kwamaana hiyo hela ya kutoa boom haitoshi daaah imasikitisha sana
Njia Rahisi toa pesa zako bankTufungieni Mikanda wakuu, Hela za operations zinatakiwa zitoke ndani
Mambo yalikuwa yanaonekana marahisi kwasababu donors walikuwa wanamwaga tu Hela
Sasa tufungeni Mikanda au tuuze rasilimali zetu
Tukitoa tuweke ndani ?Watanzania nendeni mkatoe Pesa zenu kwenye mabenki na M-PESA dalili ya mvua ni mawingu
Kwani unamtambua kama rais?Kumbe anajua, welcome to reality
Chapisha hela
Nani kakulazimisha akupe msaada?.Wazinzi nyie hata mkifa na maukimwi yenu ndo safi kabisa, hiyo misaada ya kulazimisha mpaka watu wafilane hapana hatuitaki.