Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Moja kitaa watu wameshapigika balaa hata mlo mmoja sio wa uhakika; matozo kila kona na bado watu wana impunity na kufuja mali left, right and center...; Hilo mkuu nilikuwa najua tangia zamani litakuja hususan Gen Alpha wakiwa wakubwa... (Hata kabla ya kutokea yaliyotokea i.e. matatizo ya politically; economically hatuna majibu ya kesho yetu);In economic crisis watu wengi huungana
Issue ya sasa hivi na kilichotokea hata bila economic crisis (ukizingatia watu tayari wanaishi hand to to mouth) ni kwamba watu wana hasira na yaliyotokea ndio maana wanajitahidi kwa propaganda za hapa na pale lakini wanajisahau bado kuonyesha impunities (Case in Point Baraza lililochaguliwa) - which means hawa watu wapo tayari kumwaga ugali kama mkimwaga mboga...