Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
This bitch is pure evil, for God's sake, WTF is wrong with her?
Akiba ipi kama deni la taifa limefika trilion107 na Bado Kuna miradi mikubwa Bado haijaisha Bado Kuna magoli ya mama hapo hapo msaniianapanda jukwani dakika 5 analipwa million 700 hio akiba Iko wapTulikuwa tunapata Nje, tunatumia ama tunaweka akiba? Sasa kama tulikuwa tuna weka akiba Kuna haja ya kutafuta au ni kurejea kwenye akiba na kutoa kisha kutumia!!! ? Wasiwasi wa nini? Tutoe tulipowekeza!!? Hivi kwa miaka bajeti ya mishahara na uendeshaji ilikuwa inategemea wafadhili? Wafadhili si walikuwa wanahusika na miradi mikubwa!!Au sielewi masuala haya nieleweshwe vizuri
Hii Nchi bado ni tajiri wa rasilimali, We have abundant resources as a countryRasilimali gani, wakati mzanzibari amekwishauza karibia zote kwa waarabu? Ameuza bandari, ameuza mbuga za wanyama, ameuza hifadhi za misitu, ameuza mwendokasi, ameuza viwanja vya ndege, ameuza madini ya almas na makaa ya mawe kwa RA, nini kilichobakia?
Huwezi kuamini hata hao waliyopiga kura kumchagua yeye wanamchukia sema tu ndio ulevi wa chama.Kabisa! Inawezekana vip mtu ushinde kwa 98% lkin watu wengi Bado wanakuchukia? Doa kubwa sana Hilo.
Wataongeza kodi, huu utawala wa kisultani hauwezi kupunguza matumizi ya anasa na ufujaji.Kutafuta pesa wenyewe kina nani na wapi wakati ni sisi ndio tunalipa Kodi ? Badala ya kuongelea kutafuta pesa semeni mpunguze ufujaji anzeni na mishahara yenu na hayo magari ya kifahari...; Badala ya kuwaza ndugu zetu tuliowapoteza hence nguvu kazi na kukosa watanzania wenzetu tunawaza bakuli letu tutalitembeza wapi !!!
Eti kutafuta pesa wenyewe ?!!!!
Chuo gan hicho, au tamko limetoka lin mkuusahivi wanachuo wameambiwa ili usajioiwe inakubidi ulipie ada nusu aiseee kwamaana hiyo hela ya kutoa boom haitoshi daaah imasikitisha sana
vyuo vyote mkuu mfano Udom nilazimaChuo gan hicho, au tamko limetoka lin mkuu
Na ndio inavyotakiwa kuwaNa akileta kodi kandamizi kwa wananchi hiyo ndo itakua mbaya zaidi watu Wataingia mtaani wengi maadamano yatakua makubwa mno
Mbn hata hvo mikopo yenywe kwa wanachuo wanawapa asilimia chache almost wengi wanalipa nusu ya adavyuo vyote mkuu mfano Udom nilazima
Na ndio inavyotakiwa kuwa ,life inatakiwa kuwa horrible and unbearable mpaka ******* machoko machawa waone motoNa akileta kodi kandamizi kwa wananchi hiyo ndo itakua mbaya zaidi watu Wataingia mtaani wengi maadamano yatakua makubwa mno
Huyu fazafaka anasubiri nini kutuachia nchi yetu tuiweke kwenye mikono salama?Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha za ndani ili kutekeleza miradi.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri wateule, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 18 Novemba, 2025.
zipo nyingi mojawapo ni bunge kukosa idadi kidhi ya wabunge toka vyama pinzani.Mbona hanyooshi maelezo? Ni mambo gani hayo yametutia doa? Huyu ataropoka kila kitu siku sio nyingi
Huu ni uhaini na uhujumu uchumiMkuu, push hii agenda. Na akina Mange na Sativa na Maria Sarungi waipush
Inavyoonekana, huwenda watu wakaanza kuibiwa hela na serikal kwenye account zao
Ingekuwa rahisi hivyo ,huyo mzanzibar asinfepiga kelele, mwambie auze ziwa VictoriaHii Nchi bado ni tajiri wa rasilimali, We have abundant resources as a country
Acha kutisha watu wewe,mhaini na mhujumu uchumi mnaye huko ikulu,sisi kazi zetu hapa ni kuwaokowa watu wasipoteze pesa zao kwa mzanzibarHuu ni uhaini na uhujumu uchumi