S.M.P2503
Platinum Member
- Nov 25, 2008
- 3,689
- 7,145
Ili Mradi tu msiende kuwapa waarabu kuchimba dhahabu Serengeti... kama ndivyo kututayarisha kwamba tuanze kuwaleta watuunge katikati...Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha za ndani ili kutekeleza miradi.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri wateule, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 18 Novemba, 2025.