binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Haina riba ila ina leverage kubwa, Wale wanapenda anasa watataka Serengeti, Ngorongoro na mlima Kilimanjaro muwape 😅DOA .... Hili ni zaidi ya Doa.
Inaonekana Maza haonekani kabisa kuguswa na yaliyotokea.
Aende kwa Wajomba. Nasikia mikopo yao huko haina riba.
Wachina watataka SGR, mwendokasi, airports, Gesi etc ilimradi hamna cha bure.
Bora mkopo unapewa unalipa hivyo hivyo kuliko anayetaka kuchukua nyumba yako jumla.