Kumbe anajua, welcome to realityRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri wateule, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 18 Novemba, 2025.
View attachment 3503687
Huyu sioni akitoboa mitano hiiNa akileta kodi kandamizi kwa wananchi hiyo ndo itakua mbaya zaidi watu Wataingia mtaani wengi maadamano yatakua makubwa mno
Kuna jamaa anakuambia ye kamati yake ni kuparalys serikali anapiga back to back naona kazi yake inaanza kuoneknaNa akileta kodi kandamizi kwa wananchi hiyo ndo itakua mbaya zaidi watu Wataingia mtaani wengi maadamano yatakua makubwa mno
Mbwa wewe na mpumbavu sana, utoke hapo, huwezi kuwa rais wa nchi hii. Mpumbavu wewe, na mjinga sana wewe na wenzako hao.Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha za ndani ili kutekeleza miradi.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri wateule, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 18 Novemba, 2025.
Mbona sasa hamuachi kupitisha Bakuli na kuomba mikopo nje ya nchi?Nchi hii ni tajiri sana hatutegemei misaada ya kipuuzi
Kuikosesha Serikali mapato ni simple Toeni hela bankKutafuta pesa wenyewe kina nani na wapi wakati ni sisi ndio tunalipa Kodi ? Badala ya kuongelea kutafuta pesa semeni mpunguze ufujaji anzeni na mishahara yenu na hayo magari ya kifahari...
Eti kutafuta pesa wenyewe ?!!!!